Watoto bana.Nikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
haha thibitisha rogie pita hukuUmejibu kwa upole saana, utakuwa unampenda sana huyu jamaa.
waiting[emoji144] [emoji144] [emoji144]Nitakuambia baadae maana hapa naweza nikaharibu ubuyu
Eti wanasema wewe ni mwanaumeHaya mtajeee mwanaume kulia lia kwenye mapenz huo sio uanaume
[emoji27] [emoji27]Sasa mbona hadi sasa zimepita dakika 6!
hahahaahahahahha, yaani kila nikizunguka huko lazima nirudi kuchungulia kama tayari, tehe tehe tehe[emoji27] [emoji27]
katuacha kwenye mataa
Matamu sana.CC Asprin
Daka hiyo Itakusaidia sana kwenge ukaguzi Kuhusu kuwa na Mapenzi Ya Ki Mura.
Mm mwanamke nina kitumbua na matitiEti wanasema wewe ni mwanaume
Sawa, inawezekana uko kisela sana ndo maana unawafanya wafikiri hivyoMm mwanamke nina kitumbua na matiti
Kuna lingine
You know how to do the Logic wiselyLove is blind, Gentamycine.
Unajuaje kama atafurahi?. Labda kama una I'd zaidi ya moja humu, uitumie hiyo nyingine kujijibu ili kutuhadaa. Kupenda ni gharama, ni kujitoa sadaka.
You're not afraid to mention. You're afraid of not Loved back.
Yan ukifanya kitu babu akatabasamuUmenivunja mbavu we mtoto.... sio vizuri hivyo
Najiamini sitingishwi na misimamo ya wanaume ni mwanamke wa shokaaaSawa, inawezekana uko kisela sana ndo maana unawafanya wafikiri hivyo
Umejibu vyemaNajiamini sitingishwi na misimamo ya wanaume ni mwanamke wa shokaaa
Nasimamia kile ninachokiamini sitishwiiii
Unitaje bure bure wakati hunipi hela sitaki. Utanibania bahati bure. Bora unipe hela ukinitaja hata haitaniuma sana.Huwezi jua mm mwenyewe ninampango wa kukutaja sema naogopa manundu[emoji1] [emoji1] [emoji1]