Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......
Mawazo Yako tu, Sasa unataka tukashindane na wakina Sanchoka kupost makalio ?
 
Niache kulala nije kukesha jf nalipwa au yaan wataokesha hawana pa kulala au wanalala kwa shemeji zao halaf nilichoshtukia Genta anacheza na akili zetu hakuna mwanamke anayempenda wala ninii kashaona watu wanapenda ubuyu
Hahaaaa. Ndio hapo Dada uache usingizi eti unamsubiri Genta lol. Atawapata wale wenye Uteja na jf.

Mie pia nimeligundua hilo hamna kitu hapa.
 
Back
Top Bottom