Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Mawazo Yako tu, Sasa unataka tukashindane na wakina Sanchoka kupost makalio ?Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......