Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Mawazo Yako tu, Sasa unataka tukashindane na wakina Sanchoka kupost makalio ?
 
Niache kulala nije kukesha jf nalipwa au yaan wataokesha hawana pa kulala au wanalala kwa shemeji zao halaf nilichoshtukia Genta anacheza na akili zetu hakuna mwanamke anayempenda wala ninii kashaona watu wanapenda ubuyu
Hahaaaa. Ndio hapo Dada uache usingizi eti unamsubiri Genta lol. Atawapata wale wenye Uteja na jf.

Mie pia nimeligundua hilo hamna kitu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…