haha thibitisha rogie pita huku
Ahahah kwahiyo na wewe utanisutaMie na kakakoo... Si unajua venye najua kushusha bango eeh..
KhaaaaaaSawa
Nilijua leo shemu ataenda kwa mpira
Nilijua mmu huko ndio nilipotoka kutafuta mmoja mmoja nakujaHahahaaaaaaaaaa. Sasa ukitafuta uzi mmoja mmoja mpaka ukija dada si Mbao itakuwa ishakupiga kichwani.
Jukwaa la Sport kule. [emoji85] [emoji85]
Pole dada angu. Ni kule kwenye jukwaa la furaha kusiko na chembe ya karaha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilijua mmu huko ndio nilipotoka kutafuta mmoja mmoja nakuja
kabisa sema uko sawa kipenzi?Kwema mamii?
Sio kwa uchochezi uleeAhahah kwahiyo na wewe utanisuta
Niko sawa babe, nakumiss tu.kabisa sema uko sawa kipenzi?
HahahaKhaaaaaa
Sasa mkuu watatu wote hao unataka ujimilikishe..Me wapo wa 3 af Kila nlifkiri
Kwenda pm naona ntakua najisumbua tu maana cjawah hata kuwapa salam
Kwenye pm zao
njoo home mo mwenyewe nimemiss kumissiwa atii .Niko sawa babe, nakumiss tu.
Hii gia nimeipenda mkuu..[emoji23] [emoji23]Nikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
Hahaha saa 12 ntakuwa hapo.njoo home mo mwenyewe nimemiss kumissiwa atii .
daah haya bhana[emoji19]Huo ndio ukweli
daah haya bhana[emoji19]
Nina mpango wa kufanya maamuzi mazito
Mahaba niueee...Shikamoo babu
Haa haa ha mkuu hataSasa mkuu watatu wote hao unataka ujimilikishe..
Hizo tamaa bana ..
Babu nataka kukaguliwa.Mahaba niueee...