Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Malizia na hide my id plz..
 
Kumbe uzi umegusa wengi
 
Haya sasa Members kama nilivyoahidi kuwa mida hii niki log in tu nitavunja ukimya na kumtaja huyo Mwanamke nimpendaye sana humu JamiiForums. Je wote mpo tayari kumjua? Tafadhali naomba kama una Rafiki yako yoyote ( namaanisha Member humu Jamvini ) ambaye sasa hivi amelala hebu wasiliana nae kisha mwambie aingie JF haraka ili aone GENTAMYCINE anamtaja nani. Naomba nyote mkishakuwa tayari na macho mniambie ili nimalize rasmi ubishi.
 
Nikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
acha kutuzuga basiii hizo sifa ulizozioanisha ktk mada yako hazina jeuri ya kuishi mbali kabisa na huyu mrembo Mwenye akili zake Nalendwa
kuja hapa tafadhali moyo wa gent umesha kudondokea aisee
 
acha kutuzuga basiii hizo sifa ulizozioanisha ktk mada yako hazina jeuri ya kuishi mbali kabisa na huyu mrembo Mwenye akili zake Nalendwa
kuja hapa tafadhali moyo wa gent umesha kudondokea aisee


Hahah!, sidhani ni mimi hearly

Lakini huu mkwara wake duh!, Noma.
Huyo dada should count herself lucky huko aliko.
 
hahahaa mkwara mzito hatari ...bila shaka niwewe tu mkuu ..so wewe subiri aje akudhihirishie tu hapa


Hahaha!, uiwiii!, hearly wewe utafanya nikimbie.

Huyu bwana shughuli yake humu ndani sio ya kispoti spoti...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…