hahaa binafsi naona zile sifa tajwa pale juu zinakulenga wewe tu mkuu so huwezi kuishi nje ya mstari wazile sifa ...kuhusu shughuli yake ya humu ndani ukishakuwa wa ubani wake yakupasa ufumbe macho tu ktk baadhi ya mambo yake ..ujifnye kama umepofuka hvi ili maisha yaendeleeHahaha!, uiwiii!, hearly wewe utafanya nikimbie.
Huyu bwana shughuli yake humu ndani sio ya kispoti spoti...lol
Hawataishi pamoja kwa amani. Two genius never live together.hahahaa mkwara mzito hatari ...bila shaka niwewe tu mkuu ..so wewe subiri aje akudhihirishie tu hapa
Surely. Hamtadumu even a year.Hahaha!, uiwiii!, hearly wewe utafanya nikimbie.
Huyu bwana shughuli yake humu ndani sio ya kispoti spoti...lol
Kwa hiyo kwa lugha iliyonyooka unamaanisha huyo ananifaa mie kilaza ili tu balance mambo...Hawataishi pamoja kwa amani. Two genius never live together.
Mungu sio mjinga.
Genta MTU amfaaye ni Inna
Haswa. Tena usivyojua kiingereza ndio mahala pake. N kijana Daby yu akuita.Kwa hiyo kwa lugha iliyonyooka unamaanisha huyo ananifaa mie kilaza ili tu balance mambo...
Haya N kama ulipo ni usiku fanya kuniotaota ebu.
lakini vigezo alivyovitaja gent ..vinamkataa inna ..sasa hapo lbda umshauri abadilishe hvyo vigezo vyake ...maana mimi nilimpndekeza nalendwa kutokana na sifa ambazo alizozitaja gent ....Hawataishi pamoja kwa amani. Two genius never live together.
Mungu sio mjinga.
Genta MTU amfaaye ni Inna
Thank very much much my friend for beating me side.Haswa. Tena usivyojua kiingereza ndio mahala pake. N kijana Daby yu akuita.
Thank very much much my friend for beating me side.Haswa. Tena usivyojua kiingereza ndio mahala pake. N kijana Daby yu akuita.
Come on guy. Huo ujiko kupata huruma ya N.Thank very much much my friend for beating me side.
Naona hii week ni yake na mimi natafutia pakutokea kwa kiki yake.Come on guy. Huo ujiko kupata huruma ya N.
Gent anapenda qualities za N. Wataishi muda mfupi. Ndoa ni uvumilivu. Two sparks.......!lakini vigezo alivyovitaja gent ..vinamkataa inna ..sasa hapo lbda umshauri abadilishe hvyo vigezo vyake ...maana mimi nilimpndekeza nalendwa kutokana na sifa ambazo alizozitaja gent ....
Kazia hapo hapo.Naona hii week ni yake na mimi natafutia pakutokea kwa kiki yake.
Greeting's, Neighbour.You know how to do the Logic wisely
Duh! Kuna kitu nimekikumbuka lakini ngoja nikaushe nisije nikawa napenda kitongaMbona umetoka nje ya madaaaa
Unanitafuta ugomviii sawa tu
Hunipendi mdogo wako huyo ni shemeji yako kazi kwako
hahaa binafsi naona zile sifa tajwa pale juu zinakulenga wewe tu mkuu so huwezi kuishi nje ya mstari wazile sifa ...kuhusu shughuli yake ya humu ndani ukishakuwa wa ubani wake yakupasa ufumbe macho tu ktk baadhi ya mambo yake ..ujifnye kama umepofuka hvi ili maisha yaendelee
Surely. Hamtadumu even a year.
Hawataishi pamoja kwa amani. Two genius never live together.
Mungu sio mjinga.
Genta MTU amfaaye ni Inna
Labda mtawezana kwa kuwa wote ni INTERLACUSTRINE REGION ( I'm not so sure with spelling)Lakini naona kama hizo sifa ni kubwa sana..
Kwa kweli ndoa ni uvumilivu, na uvumilivu na huyu bwana unahitajika mkubwa sana.
Tusubiri tuone nani atalikwaa Taji! π
hahahaa maana majibu yake tu anayoyatoaga huwa hayana tofauti na MZee wake bakayoko ..Lakini naona kama hizo sifa ni kubwa sana..
Kwa kweli ndoa ni uvumilivu, na uvumilivu na huyu bwana unahitajika mkubwa sana.
Tusubiri tuone nani atalikwaa Taji! π