Kuna mwanamke ni forex trader namtafuta aniombe radhi

MONEY 255

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
212
Reaction score
197
Habari Wanajamii.

Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda Kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu nikapanda mwendo Kasi pale gerezani kuelekea zangu kivukoni nia ni kurudi home kurudisha material ili siku inayofwata nianze show zangu za ufundi viatu.

Ile kufika kivukoni kwenye ule msongamano wa abiria washukao kuelekea kwenye kivuko na wale wanaosubiri magari ya ubungo kimara kwa pembeni yangu nikaona mtoto mkalii(pisi) nikavutiwa nae😍, ile kumsogelea nkaona ameshika simu.

Mawazo yaka hama ghafla baada ya kuona application pendwa kwa sisi matrader ilikuwa Mt4. By then Mt5 haikuwa popular kihivo.

Ile nimsogelee vizuri kuona kinachojiri kwenye kioo cha simu yake, daah mtoto aliniangalia kwa jicho la ukali sana kama jini vile😠.

Sio Siri nikiwa na zigo langu la material nilijisikia vibaya sana🥺 ikabidi nisepe zangu kinyonge😢 kuelekea kwa kutokea pale wanapochania tiketi baada ya kukata ticket ukiwa umeshanunua.

Nilijaribu kuimark sura yake mremboo yule kwa nje ya ukuta kupitia yale matundu ya pale feri nikijifariji wenda tutaja onana tena lakini ilikuwa ni ndoto za mchana.

Sio Siri uliniumiza sana moyo💘 wangu ewe dada trader. Popote ulipo ujumbe ukufikie na ukiupata usisite kuja dm kuniomba radhi.

Wako trader katika Market Money255

Nawasilisha.
 
Hata hueleweki mi nilijua Labda alikutapeli au kukudhalilisha kumbe kutazamwa TU. Wanaume wa Dar ni dhaifu sana yaani kutazamwa TU uombwe msamaha!
Tuna tofautiana...we ni mwanaume wa wapi Afghanistan ama
 
Habari Wanajamii.

Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu nikapanda mwendo Kasi pale gerezani kuelekea zangu kivukoni nia ni kurudi home kurudisha material ili siku inayofwata nianze show zangu za ufundi viatu.

Ile kufika kivukoni kwenye ule msongamano wa abiria washukao kuelekea kwenye kivuko na wale wanaosubiri magari ya ubungo kimara kwa pembeni yangu nikaona mtoto mkalii(pisi) nikavutiwa nae😍, ile kumsogelea nkaona ameshika simu.

Mawazo yaka hama ghafla baada ya kuona application pendwa kwa sisi matrader ilikuwa Mt4. By then Mt5 haikuwa popular kihivo.

Ile nimsogelee vizuri kuona kinachojiri kwenye kioo cha simu yake, daah mtoto aliniangalia kwa jicho la ukali sana kama jini vile😠.

Sio Siri nikiwa na zigo langu la material nilijisikia vibaya sana🥺 ikabidi nisepe zangu kinyonge😢 kuelekea kwa kutokea pale wanapochania tiketi baada ya kukata ticket ukiwa umeshanunua.

Nilijaribu kuimark sura yake mremboo yule kwa nje ya ukuta kupitia yale matundu ya pale feri nikijifariji wenda tutaja onana tena lakini ilikuwa ni ndoto za mchana.

Sio Siri uliniumiza sana moyo💘 wangu ewe dada trader. Popote ulipo ujumbe ukufikie na ukiupata usisite kuja dm kuniomba radhi.

Wako trader katika Market Money255

Nawasilisha.
Acha kudekadeka kijana.Jikite kwenye ushonaji viatu na uache kutazamatazama watu bila mpango.Halafu,huyo dada kuna kitu alikosea.Ulipochungulia simu yake angekukata banzi la uhakika hadi mate laini yaruke kutoka mdomoni mwako.
 
Huu Uzi nimeuandika kwa makusudi...ili mijinga kama ww uone story moja tuh ya kumtazama yule mwanamke...wenzio wenye wako smart enough Wanaona fursa tofauti ya Forex zwazwa usie na makal*o wewe😄
 
Ujumbe umeupata.Nyuzi za kijinga zipungue.Shona makobazi kijana uache kushangaa mjini.
 
Back
Top Bottom