Hivi kuna mtu anapokea taarifa Crystal nchi hii kama moja? Awamu hii tupo pamoja popoma guru😂😂😂😂😂😂😂GENTAMYCINE huwa napenda mno Kukutana na Critical Thinkers kama Wewe hapa JamiiForums kutokana na Jambo Muhimu na la Msingi pia Uliloliandika hapa kuliko 'damn Fools' kama akina Chura ambao hupenda sana Kukurupuka Kuchangia Mada zangu ambazo bahati mbaya Kwao ni kwamba nyingi huwa zinazidi Uwezo wao Duni wa Kufikiri waliobarikiwa nao na Mwenyezi Mungu.
Huna ujualo dada,dikteta ndio aliua chamaMama anaenda kuizika CCM moja kwa moja tutegemee watu hawa kuibuka kuelekea uchaguzi wakitema nyongo ambazo zitaiumbisha CCM
Yaani Mwita Waitara, ile Sura yake Ngumu kama Tofali la STRABAG tu na ule Uso uliovimba kama Vitumbua vya Tandika ilikuwa ni sababu tosha ya Kuwakimbiza na Kuwatishia Wapiga Kura kutompigia Kura mapema tu.Kwa hiyo Mwita Waitara naye alikuwa anautaka urais kiasi cha kuwa tishio kwa mama Samia?
Mwita waitara?!
Huyu mama ameifanya CCM kuonekana kama chama dhaifu mnoo cha kuogopa haya kwenda kupambana na TLP.
Madaraka Ya Kulevya.Hawa wakiambiwa wachague uhai na urais wanaweza kuchagua Urais.
Wapate nafasi ya kujiandaa eti.Yaani kabisa 'Mimate' Kabudi na 'Saa 12 Jioni' Lukuvi ndiyo wautake Urais wa JMT kwa 2025?
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Ni kweli waliotemwa hawaoneshi km wana ushawishi wa kupambania kiti ila yawezekana wanashiriki kumpambania mwenye ushawishi ambaye pengine hata hatumfikirii kabisa ili ashike kiti 2025.Yani hao waliotemwa ni machawa.Yaani kabisa 'Mimate' Kabudi na 'Saa 12 Jioni' Lukuvi ndiyo wautake Urais wa JMT kwa 2025?
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Ila mama mnamsingizia sana utadhani yeye intelllejensia yake ni yakilaghai ukweli kabisa Mzee aliyelala pema alimuandaa kabudi kuwa Rais na ndo sababu akamtoa sheria akamsogeza mambo ya nje pale alambe exposure na mitandao.Mama anaenda kuizika CCM moja kwa moja tutegemee watu hawa kuibuka kuelekea uchaguzi wakitema nyongo ambazo zitaiumbisha CCM
Historia ya alofanyiwa Lowassa na yaliyofuata tumeyashuhudia na ku-experience. Bwana yule na washauri wake waliietendea nini nchi hii enzi zake na baadae is on record. Huyu anamtumikia nani kuharibu chama na nchi?Mama anaenda kuizika CCM moja kwa moja tutegemee watu hawa kuibuka kuelekea uchaguzi wakitema nyongo ambazo zitaiumbisha CCM
Bibi anajuwa ukweli 2025 hatoboi ndiyo maana anataarisha timu yake ukweli anayetayarishwa ni January Nape kidampaYule bibi katudhalilisha sasa sisi nguli wa siasa. Povu lote lile kumbe anataka kulipa fadhila tu.