Kuna Mwanaume Mwenzangu yoyote hapa JamiiForums mwenye Ujasiri huu wa Kinafiki na Uwongo kama wa huyu?

Ukipeenda kupeleka wenzako Pemba na wewe uwe tayari kupelekwa visiwa vya marashi ya karafuu.
Yaani nisipoenda Pemba na Mwanamke yoyote ambaye nakuwa nae huwa sijisikii raha kabisa kwani sipapendi Unguja.
 
Jamaa ana Traits kama za kwangu, Anaebisha aje alale ataona kama Nadanganya ..
 
Hivi yule jamaa aliyeweka mkono usiku kucha ni nani? Bahati hizi watu hua wanazichezea sana , kama mimi nafinkunyua kipochi hadi aseme kweli,
 
Mwanzoni ulikuwa binti mwema, posts za kanisani, kuimba kwaya, neno la Mungu kwa wingi, siku hizi hadi morning glory unajua?
Jf imenitoa ushamba! Unadhani kuitwa mtandao wa great thinkers mchezo🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…