ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kumbe wewe kutapeliwa ni dakika 0..!Tena Wanawake wale Warembo sana kama Wewe Dada yangu huwa sijisikii raha kama nisipowapeleka kule Pemba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe kutapeliwa ni dakika 0..!Tena Wanawake wale Warembo sana kama Wewe Dada yangu huwa sijisikii raha kama nisipowapeleka kule Pemba.
Ukipenda kupeleka wenzako Pemba na wewe uwe tayari kupelekwa visiwa vya marashi ya karafuu.Dada hupendi kwenda Pemba Weye hata mara moja moja? Mimi nikiwa na Mwanamke lazima niende nae huko Pemba
Mjanja wa kutoka kwa Makabila ya wenye Akili Tanzania ya Zanaki na Yao huwa Anatapeliwa Dada? Unajinua au Unasikia tu?Kumbe wewe kutapeliwa ni dakika 0..!
Yaani nisipoenda Pemba na Mwanamke yoyote ambaye nakuwa nae huwa sijisikii raha kabisa kwani sipapendi Unguja.Ukipeenda kupeleka wenzako Pemba na wewe uwe tayari kupelekwa visiwa vya marashi ya karafuu.
Kumbe wewe ni myao kama mimi🙄Mjanja wa kutoka kwa Makabila ya wenye Akili Tanzania ya Zanaki na Yao huwa Anatapeliwa Dada? Unajinua au Unasikia tu?
Hivi kwenye wale maafande na binti wa Yombo hukuwepo kweli?Yaani nisipoenda Pemba na Mwanamke yoyote ambaye nakuwa nae huwa sijisikii raha kabisa kwani sipapendi Unguja.
Ulijua kuichapa hadi alitamani hasiondokeNililala hadi asubh. Ilivyofika asubh nikatumia akili nikamla hadi akalala tena siku mbili
Tena hua ni wajanja, utasikia au tu niondoke kesho mapema sana,Ulijua kuichapa hadi alitamani hasiondoke
We inabidi wakunya'anye simu, siku hizi nani anakufundisha hayo?Ulijua kuichapa hadi alitamani hasiondoke
Wewe ndiye umenifundisha😂We inabidi wakunya'anye simu, siku hizi nani anakufundisha hayo?
Kuna mazingira mwanamke usitumie nguvu. Cheza nae kiakili tu ajione yupo salama kwako. Ukimuondoa hofu tu baasiiiii. utapewa na kupewa tena.Ulijua kuichapa hadi alitamani hasiondoke
Mwanzoni ulikuwa binti mwema, posts za kanisani, kuimba kwaya, neno la Mungu kwa wingi, siku hizi hadi morning glory unajua?Wewe ndiye umenifundisha😂
Jf imenitoa ushamba! Unadhani kuitwa mtandao wa great thinkers mchezo🙄Mwanzoni ulikuwa binti mwema, posts za kanisani, kuimba kwaya, neno la Mungu kwa wingi, siku hizi hadi morning glory unajua?
Humu kuna ma great sinker na ma great thinker.Jf imenitoa ushamba! Unadhani kuitwa mtandao wa great thinkers mchezo🙄