Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
720
Reaction score
582
Wakuu nipo mkoa mojawapo wa Kanda ya magharibi hapahapa Tanzania 🇹🇿.

Nipo maporini kidgo kwenye fursa ya kilimo..lakini eneo nilipo huku Kuna Kobe wengi maporini.

Vipi Kuna fursa ya kuwauza au Na ni hatua Gani Za kufuata nisisumbuke na mamlaka husika,
 
Hao kama bangi tu, ukifuata taratibu unaweza kuta unapata hela sawa na kuuza fungu la mchicha na ukifanya illegal unaishia kwenye nondo.
 
Wakuu nipo mkoa mojawapo wa Kanda ya magharibi hapahapa Tanzania 🇹🇿.
Nipo maporini kidgo kwenye fursa ya kilimo..lakini eneo nilipo huku Kuna Kobe wengi maporini...
Vipi Kuna fursa ya kuwauza au Na ni hatua Gani Za kufuata nisisumbuke na mamlaka husika,
Fanya mpango wafike mjini
 
Fuata taratibu na sheria kama unawataka ila jihadhari hao jamaa huwa hawana utani wanaweza kukuambia uwatafune hao kobe waliokukamata nao
Kila la kheri
 
Wakuu nipo mkoa mojawapo wa Kanda ya magharibi hapahapa Tanzania 🇹🇿.
Nipo maporini kidgo kwenye fursa ya kilimo..lakini eneo nilipo huku Kuna Kobe wengi maporini...
Vipi Kuna fursa ya kuwauza au Na ni hatua Gani Za kufuata nisisumbuke na mamlaka husika,
Kobe ni nyara za serikali kuwa makini utaozea jela na ukifanikiwa kuwauza wanunuzi pia wana kesi ya kujibu..

Kuna jamaa moja nalo jinga fulani lilikuwa linauza Kasuku haku halijui kuwa Tanzania haijawahi register wanyama pori wala ndege waitwao Kasuku.. Kasuku ni mali ya serikali ya Zaire AKA DRC. Kosa lake ni kuingiza ndege nchini bila kibali na kumiliki haramu
 
Nashkuru wote mlio mtahadharisha jamaa, wazee wa Mali Asili hawa msihara, hata kama ni Kada wa kijani kibichi
 
Back
Top Bottom