Kama ulisoma physics,maths,nadhani na chemistry mpaka form four na ukapata pass unaweza apply certificate kwanza kama utaona inalipa.Lakini vipo vyuo vingine unaweza soma mpaka diploma bila ata hayo masomo
Kuhusu kupitia njia ya post graduate sina uhakika sana lakini post graduate ya Information Technology itakuwa ngumu(unapigwa kozi kibao kwa muda mchache unaishia kupata cheti na sio ujuzi)