Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Naitwa Google Diggers. Nina miaka 31
Nina degree ya Sanaa yaani bachelor of arts na nina stashahada ya masuala hayahaya ya Sanaa. Kifupi ni Political sciences.
Nataka kufanya post graduate ya IT
Je inaweza ikakubalika?? IT imejaa science na mimi science niliifanya o level pekee
Msaada wa Mawazo