Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

Mama amepewa mtego ajifanye Mzanzbar zaidi aone cha mtema kuni.
Ajaribu
Ana haki ya kumweka mtu anaemwamini yeye kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla.

Kwa mfano wapo wazee wawili ambao wamekulia ndani ya TISS (mmoja mpemba na mwingine yuko kule kukusanya mapato) mmoja wao anafaa kupandishwa awe mkuu kabisa ili kusaidia kurejesha maadili ndani ya TISS.

Ni kama vile unavyopanda kule jeshini na polisi lakini si kuchanganya polisi na TISS, ni vitu viwili tofauti.

Ndo maana kuna tofauti ya kiutendaji kati ya polisi na jasusi.
 
Let Madam President work out her Magic! Mpeni nafasi!

It’s laughable that now mnampumulia kwa bega mpaka anakosa pumzi halisi! Muacheni tafadhali!

Tupo tunaona!
 
Wazanzibar wabaguzi saana, huku tu wanalalamika kwanini mwanamke Anaongoza nchi? Hawa ndugu zetu wabaguzi saana.

Tunavumiliana nao tu maana Ni ndugu zetu kabisa wazaramo, wanyamwezi n.k
Wabaguzi ni nyinyi, mimi nilInyimwa nafasi pamoja na wenzangu miaka ya 80s, kwenda kusoma, N.Zealand. Australia, Germany, Hungary, India, na mote tulifika mpaka kumaliza taratibu zote ,mwisho wa siku tukatolewa wakaingizwa waTanganyika
 
Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Ili tuvamiwe au?
Upuuzi huo tupa kule
 
Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Mama ndio Amri Jeshi Mkuu unataka chombo gani zaidi ya hicho.
 
Wazanzibar wabaguzi saana, huku tu wanalalamika kwanini mwanamke Anaongoza nchi? Hawa ndugu zetu wabaguzi saana.

Tunavumiliana nao tu maana Ni ndugu zetu kabisa wazaramo, wanyamwezi n.k
Lakini wana haki ya kulalamika kama kanuni ya Imani yao imevunjwa.
 
Hayo ya vyombo vya usalama watakuja wengine kuchangia, langu moja tu, tens dogo sana...Rais wetu kwa sasa ni Mzanzibar Mwanamke, hili kutokea Zanzibar ni kazi sana!
Hakuna kazi yoyote ndugu hawa wabara sindio wanateka nakuua wenzao kwa vile tu wanawapinga

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom