Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

Wazanzibar wabaguzi saana, huku tu wanalalamika kwanini mwanamke Anaongoza nchi? Hawa ndugu zetu wabaguzi saana.

Tunavumiliana nao tu maana Ni ndugu zetu kabisa wazaramo, wanyamwezi n.k
Ubaguzi vipi mwendazake alivyogawa taifa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ana haki ya kumweka mtu anaemwamini yeye kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla...
Wazanzibari uzalendo kwa taifa la Tanzania hawanaga (huu ndio ukweli)

Wangelikua wana uzalendo kwa nchi wasingelikua wanaendesha harakati za kuvunja muungano

Kuendelea kuwapa nafasi nyeti nyeti ni kulibomoa taifa
 
Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Kama wanapewa uprizident nafikir ivo vingine nivitu vidogo mâke ukiwa mkubwa wakantrii siunaamua ufanye nanani kazi
 
Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Ndio. Suleiman Mzee, CGP ni Mzanzibar
 
Pesa zetu apeleke zanzibari tumnyonyee adi chumvini
 
Back
Top Bottom