kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ana haki ya kumweka mtu anaemwamini yeye kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla.Mama amepewa mtego ajifanye Mzanzbar zaidi aone cha mtema kuni.
Ajaribu
Kosa sana Nyerere kujiunga na hawa jamaa.. Kasehemu kenyewe kadogo.. Hasa wapemba wabaguzi sana
Wabaguzi ni nyinyi, mimi nilInyimwa nafasi pamoja na wenzangu miaka ya 80s, kwenda kusoma, N.Zealand. Australia, Germany, Hungary, India, na mote tulifika mpaka kumaliza taratibu zote ,mwisho wa siku tukatolewa wakaingizwa waTanganyikaWazanzibar wabaguzi saana, huku tu wanalalamika kwanini mwanamke Anaongoza nchi? Hawa ndugu zetu wabaguzi saana.
Tunavumiliana nao tu maana Ni ndugu zetu kabisa wazaramo, wanyamwezi n.k
Ili tuvamiwe au?Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Tumuombee Mama awe Mtanzania zaidi badala ya MzanzibariMama amepewa mtego ajifanye Mzanzbar zaidi aone cha mtema kuni.
Ajaribu
Mama ndio Amri Jeshi Mkuu unataka chombo gani zaidi ya hicho.Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Mkuu wa Mageteza ni mzabzibari
Huyu kwao Ni Newala. Alizikwa huko.Hiki kitengo Cha J.K.T amewahi Makame Rashid
Lakini wana haki ya kulalamika kama kanuni ya Imani yao imevunjwa.Wazanzibar wabaguzi saana, huku tu wanalalamika kwanini mwanamke Anaongoza nchi? Hawa ndugu zetu wabaguzi saana.
Tunavumiliana nao tu maana Ni ndugu zetu kabisa wazaramo, wanyamwezi n.k
Zanzibar ni mkoa, hatuteui kimkoa ushanfahamu!!?View attachment 1734580
Hakuna kazi yoyote ndugu hawa wabara sindio wanateka nakuua wenzao kwa vile tu wanawapingaHayo ya vyombo vya usalama watakuja wengine kuchangia, langu moja tu, tens dogo sana...Rais wetu kwa sasa ni Mzanzibar Mwanamke, hili kutokea Zanzibar ni kazi sana!