Ubaguzi vipi mwendazake alivyogawa taifaWazanzibar wabaguzi saana, huku tu wanalalamika kwanini mwanamke Anaongoza nchi? Hawa ndugu zetu wabaguzi saana.
Tunavumiliana nao tu maana Ni ndugu zetu kabisa wazaramo, wanyamwezi n.k
kule wanaita vyuo vya mafunzo.mtiti wake huko uskiie ivo ivo.Hakuna
Magereza ipo bara tu ,siyo ya muungano m
Wazanzibari uzalendo kwa taifa la Tanzania hawanaga (huu ndio ukweli)Ana haki ya kumweka mtu anaemwamini yeye kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla...
Kama wanapewa uprizident nafikir ivo vingine nivitu vidogo mâke ukiwa mkubwa wakantrii siunaamua ufanye nanani kaziTunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Hakuna kazi yoyote ndugu hawa wabara sindio wanateka nakuua wenzao kwa vile tu wanawapinga
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Ndio. Suleiman Mzee, CGP ni MzanzibarTunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi hongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
Hakuna
Magereza ipo bara tu ,siyo ya muungano m