Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

Utawasikia vijana " Bora ni Enjoy"

Sasa atainjoy bila hela?
Lazima atauza Nya tu.
 
Wewe bwana wewe mambo mengine ni ya kuyaacha TU. As long Kila mtu anayo uhuru wa kutumia mwili wake apendavyo....swala la kujiuliza hao watu wanabakwa...?

Kama ni Kwa ridhaa Yao wenyewe waache wenzio wapigwe mbupu Yanini uwaonee huruma watu ambao wenyewe Dunia imewachagulia njia ya kupita...!

Try to mind your own business brother.​
 
Hamnazo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bango lako lingekuwa na mantiki kama tu angekuwa anawaingilia watoto wadogo au angekuwa anafanya na hao watu kwa kuwabaka.
Otherwise hajavunja sheria yoyote thats why yule polisi wa zenji yupo zake huru.
We si ndo uliyekuwa unatafuta vibrator kwenye uzi flani hivi..

Kumbe sio tu kwenye vibrator hii michezo unayo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thd ingekua inasema kua ni Mwarabu ndio anawatafuna malinda huko chuo,basi sasa hivi kungekua na matusi ya kutukana waarabu wote mpaka dini yao,tena thd ingekua inakimbia kama roketi.
Wanaoliwa ni dini .....
 
Kwa hizi comments nilizozisoma hadi hapa inaonesha kama Taifa tuna hali mbaya miaka 10 ijayo.

Yaani watu wanaona kawaida kabisa suala la Mwanaume kumuingilia Mwanaume mwenzake?

Kweli Wazungu wametuweza haki ya Mungu [emoji22][emoji119]
Wanawake ndo huona kawaida ndo maana wanashindana
 
Vipi mkuu, hajapita na wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…