Kuna namna gani nzuri ya kudai mishahara inapocheleshwa

Kuna namna gani nzuri ya kudai mishahara inapocheleshwa

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,869
Reaction score
11,484
Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
 
Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu
Chaliii yangu upo??
 
Mungu tu atusaidie unakuta unamadeni vipengele vingi inafika mwisho wa mwezi hakuna mshahara inaumiza sana.
Vijana tupambane tukiwa kwenye ajira tutafute hata biashara ndogo ya kufanya tofauti na kutegemea kazi kwa asilimia 100 japo sirahisi
 
Tabia za mabosi wanakusoma ukiwa kimya naye anakaa kimya utaanza kulipwa mishahara tarehe 40 tena dusko dusko

Usimzoeshe bosi huo mchezo utafukuzwa kazi hapo bado unamdai na itakula kwako

Yaani akusulubishe kazi mwezi mzima halafu wewe uje kuomba kwa namna nzuri ulipwe.

Kataa unyonge mweke kati mwambie UNATAKA mshahara wako
 
Mungu tu atusaidie unakuta unamadeni vipengele vingi inafika mwisho wa mwezi hakuna mshahara inaumiza sana.
Vijana tupambane tukiwa kwenye ajira tutafute hata biashara ndogo ya kufanya tofauti na kutegemea kazi kwa asilimia 100 japo sirahisi
Sahihi, life is TOO expensive to be waiting 30 days to get paid
 
Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
Sasa kama hakuna ulichoingiza au umeingiza kidogo kuliko mshaala wako atakulipa nn jiulize ww kwanza je umeingiza sawa na mshaala wako alafu boss ndo ashindwe kukulipa
 
Back
Top Bottom