kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Yaan umemwelewa vizuri lakini alichomaanisha? Unamwambia apige selfish?Ji refine wewe mwenyewe
hahahaPole sana
Usisahau kunywa maji mengi na kula matikiti kwa wingi
ToxicatedNyuzi zako nyingi ni kulalamika tu. Always negative. Always a victim. Maroli ya Ma-ex
Kaa chini. Examine yourself. Yawezekana tatizo ni wewe. Na bila kujirekebisha utatombwa na wapita njia mpaka uchakae haki ya nani....
Nampokea na nitampeleka Italy ššNakupa Vincenzo Jr autunze moyo wako.