Kuna namna hii sekta imenikataa kabisa

Jana nilikuwa naperuzi pinterest, nikaipenda picha nikaisave. Nataka niiweke avatar nikaona nawe unayo 😁

Anyway achana na mapenzi
Yatakumaliza nguvu
Ukishaona unalia lia sana kwenye mapenzi. Ujue unahitaji reforms
😅😅Pole zipo nyingine nzuri zaidi lakini

Mapenzi nishaachana nayo kwasasa nafocus na kilimo na ufugaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…