Baltasar Ebang Engonga
Member
- Sep 3, 2025
- 14
- 28
Siwezi kufanya hivyo, nimesha move on kitambo tuKumbe hujamove on, mwamba akikuhitaji unamtunuku sio??
Stay in your lane,Go at your own speed,Siwezi kufanya hivyo, nimesha move on kitambo tu
Najua uzi ni wako lakini siyo lazima ujibu kila kitu. Nilikuwa namjibu huyo mdau aliyetoa angalizo kuhusu ID yako ya mwanzo. Hata hivyo asante kwa kusikiliza maoni yake na kubadili ID maana hiyo ya mwanzo ilikuwa haiendani na wasifu wako kama unavyojipambanua humu!Kwani kuna shidoπ
Kama una shida ya gesi fika katika kituo chetu cha Tonny Kapola Gas Station Singida mjini. Bei zetu ni poa sana na gesi yetu haina mpinzani. Hebu sema Aimeeeen!Mtumishi hii Gesi mbona Kali.
ππHii ya sasa unaendana nayo kabisa 100%. Hongera sana! πππ
No Reforms, No Election imefika mpaka kwenye mapenzi? π³Jana nilikuwa naperuzi pinterest, nikaipenda picha nikaisave. Nataka niiweke avatar nikaona nawe unayo π
Anyway achana na mapenzi
Yatakumaliza nguvu
Ukishaona unalia lia sana kwenye mapenzi. Ujue unahitaji reforms
HayaNajua uzi ni wako lakini siyo lazima ujibu kila kitu. Nilikuwa namjibu huyo mdau aliyetoa angalizo kuhusu ID yako ya mwanzo. Hata hivyo asante kwa kusikiliza maoni yake na kubadili ID maana hiyo ya mwanzo ilikuwa haiendani na wasifu wako kama unavyojipambanua humu!
Hii ya sasa unaendana nayo kabisa 100%. Hongera sana! πππ