Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

download (3) (2).jpeg

Mlima wenyewe ni Huu

images (2) (13).jpeg
Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
 
Kuna watu wawili maarufu nawajua ni mixed, black na Japanese..kipa wa Japan Toyota,na Miss Japan
Kuna yule mcheza tennis kama sikosei.

Kipa nilimuona kwenye michuano yao ya asia.

Sipatii picha japan ingetawala dunia kama america, tumgekoma mara 10 ya muamerica. Nahisi damu ingemwagika zaidi, ni kama waMONGOLI kwenye ubora wao, yani wao ni wanajiona bora kuliko maelezo, wachina wanawajua vizuri hawa wahuni.
 
Ndio tatizo pia la JEPS,Kuna kitabu kinaitwa A Town like Alice,kinaeleza ukatili wa wajapan katika vita vya pili vya Dunia,sababu kubwa kama uliyosema wewe,walikua wanajiona na kuaminishwa kua wao ni jamii Bora kupita zote duniani,na wao tu ndio wanastahili kuishi
 
Hakuna sumu mbaya zaidi ya kujiona wewe ni bora zaidi.
 
Back
Top Bottom