Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

Japan, ni vigumu kusikia matukio ya magaidi wa dini ile... Maana hawaruhusu wageni.

images
 
Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
Vimenyimwa roho halafu zinawauma tena!
 
Hivi vijamaa ni vipuuxi ssna. Ndio maana Marekani aliamua kuvipiga bomu na kuviharibu akili
 
Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
Kuna mzee wangu aliendaga kule aligonga malay kwa laki saba
 
Weee weeee bwana weee hao sio wastaarabu kabisaa hakuna washenzi kama hao ila kinachofanya uwaone hivyo ni baada ya kupigwa ile mibomu ya nyuklia.,

Ndio wakajidai kutulia, mchina alitubu kwa ukatili wa hao jamaa, angalia jeshi lao walivyokua wanaendesha vita vyao ,winja winja hao jamaa ni suala la muda tu ,
Nafikiri huko mbeleni watachanua tu makucha yao sema wameharibika sana na u westerner
Ndio Mana uwezi mkuta mchnina nafnya Kaz na mjapan
 
Japan, ni vigumu kusikia matukio ya magaidi wa dini ile... Maana hawaruhusu wageni.

images
I am afraid you are misinformed,

Issue ni kwamba Immigration policy ya Japan ipo strict since day 1, since 1940 huko wakati wa conflicts na South Korea,

Na ni kwamba ni ngumu kupata uraia wa Japan, hawana uraia nusu ni lazima mzazi wako mmoja awe mjapan, na hiyo ni asilia ya nchi zote za Visiwa, wanakua na asili ya u- nationalist

So it's not about religion it's about being Japanese,
 
Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
Hao ndio wana akili, kujichanganya ndio imefanya Afrika imepoteza utamaduni wake kwa kuiga mila za kigeni hadi majina kwa kudanganywa eti ndio wataingia mbinguni. Bure kabisa.
 
Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
Vimenyimwa kalio ila vikajaliwa akili nyingi sote ni mashahidi wa mavitu yanayotoka Japan. If it were your choice, what would you choose? Kalio au akili?
 
Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
Mmhh mkuu kwa ubaguzi mie sidhani kama Japan wana ubaguzi.
Japan ni taifa pekee la ASILI CHINA lenye raia weusi.
Ukienda Korea,China,Singapore,Thailand,Vietnam hukuti raia mweusi ila Japan ni taifa pekee la asili hiyo lililowapa watu weusi tena wengi kutokea Afrika uraia.
Nenda Korea kaombe uraia kama utakubaliwa.
Pia Wajapan wapo wengi Zanzibar wanaishi poa wako friendly.
Mie nina ankal wangu kaoa Mjapan tena kamsilimisha wapo hapo Mbezi Makabe wamezaa watoto 6.
Sijaona ubaguzi wao aisee.
 
Japan inapokea watalii Mill 30 kwa mwaka,wengi kuliko watalii wa Afrika Mashariki na kati.
watalii ni wengi sana,kuna maeneo wamekuwa na kero zao
  • Wanatupa taka ovyo.
  • Kupiga picha kila kona,no privacy
  • Kutofuata sheria za barabarani
 
Back
Top Bottom