Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.

Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.

Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.

Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
you have taken this issue completely out of context, issue wala sio ubaguzi bali ni namna ya kudhibiti overtourism ya hicho kijiji. wamatumbi wanasema in the age of information, ignorance is a choice, jisomee hapa Mt.Fuji and the LAWSON convenience store will not be able to take pictures | Kawaguchiko.net halafu ufanye machaguzi sahihi.
 
Sina uhakika sana ila nimewahi kusikia kuwa Wajapan ni jamii moja ya watu wastaarabu sana hapa duniani
Weee weeee bwana weee hao sio wastaarabu kabisaa hakuna washenzi kama hao ila kinachofanya uwaone hivyo ni baada ya kupigwa ile mibomu ya nyuklia.,

Ndio wakajidai kutulia, mchina alitubu kwa ukatili wa hao jamaa, angalia jeshi lao walivyokua wanaendesha vita vyao ,winja winja hao jamaa ni suala la muda tu ,
Nafikiri huko mbeleni watachanua tu makucha yao sema wameharibika sana na u westerner
 
Elewa motive behind hao wajumbe wanachukia sana wageni.
Naona hoja yako haimake sense samahani lakini, kwa sababu wanaweka mazingira mazuri ya kuvutia tourism, wanafanya Hadi "place making" Ili kupata watalii hata hii Lawson convenient store ni mfano wa place making Ili kuwavutia watalii kutengeneza memory ya Mt. Fuji,

Hata huo uzio uliowekwa ni temporary structure na lengo ni kuhakikisha kunakua na usalama kwa watumiaji wa Barabara,

Laiti wangekua hawataki wageni si wangewanyima visa tu.
 
Back
Top Bottom