Yaani kwenye hii Dunia a.k.a Earth, ukijiona wewe ni bora zaidi katika nyanja yoyoote ilee.. YAANI UTAJUA HUJUII ππ.Hakuna sumu mbaya zaidi ya kujiona wewe ni bora zaidi.
Unasemaje kuhusu taifa la islael kama watu wanavoliita kuwa limebarikiwa hii pia ni aina gani ya sumuHakuna sumu mbaya zaidi ya kujiona wewe ni bora zaidi.
Kwenye hili bara letu la giza wenye hiyo tabia ni wanigeria na wakenya sijui huwa wanajionaje yaniHakuna sumu mbaya zaidi ya kujiona wewe ni bora zaidi.
Kuna mtu anazungumza jambo unabaki kujiuliza huyu katumia kichwa au makalio.Unasemaje kuhusu taifa la islael kama watu wanavoliita kuwa limebarikiwa hii pia ni aina gani ya sumu
π€£ π€£π€£π€£
you have taken this issue completely out of context, issue wala sio ubaguzi bali ni namna ya kudhibiti overtourism ya hicho kijiji. wamatumbi wanasema in the age of information, ignorance is a choice, jisomee hapa Mt.Fuji and the LAWSON convenience store will not be able to take pictures | Kawaguchiko.net halafu ufanye machaguzi sahihi.Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako.
Ishu Ni kwamba wameona watalii wanapiga sana picha mlima wao, Fuji sasa wameamua kuuziba ili tu watalii wasipige picha. Yaan roho zinawauma kichizi kuona watalii ambao wengi Ni wazungu wakiwa wanainjoi life Na wakijisnap pic na selfie.
Pazia ambalo litaziba!
Hawa wajap kwa hili wametia fora kwa uchoyo, ata fahari ya machoo tuu wanabana.
Ugumu wao wa kuchanganya damu na watu wa mataifa mengine, umewafanya kuwaona wageni kama wameenda kuaribu ustaraabu wao, akili hizo zimewafanya miakaa na miakaa kuendelea kufananaa kama Uyoga.
Wana ubaguzi sana piaSina uhakika sana ila nimewahi kusikia kuwa Wajapan ni jamii moja ya watu wastaarabu sana hapa duniani
Mkuu,ni nchi gani hapa Duniani ambapo hakuna ubaguzi?Wana ubaguzi sana pia
Kwenye matako sawa na roho pia havina?vimenyimwa roho na matako.
Japanese are politely racists siku ukienda Japan utanielewaMkuu,ni nchi gani hapa Duniani ambapo hakuna ubaguzi?
Bado hujajibu swali langu.Japanese are politely racists siku ukienda Japan utanielewa
Weee weeee bwana weee hao sio wastaarabu kabisaa hakuna washenzi kama hao ila kinachofanya uwaone hivyo ni baada ya kupigwa ile mibomu ya nyuklia.,Sina uhakika sana ila nimewahi kusikia kuwa Wajapan ni jamii moja ya watu wastaarabu sana hapa duniani
Elewa motive behind hao wajumbe wanachukia sana wageni.you have taken this issue completely out of context, issue wala sio ubaguzi bali ni namna ya kudhibiti overtourism ya hicho kijiji. wamatumbi wanasema in the age of information, ignorance is a choice, jisomee hapa Mt.Fuji and the LAWSON convenience store will not be able to take pictures | Kawaguchiko.net halafu ufanye machaguzi sahihi.
Swali lako nimelijibu kupitia Wajapan sijui kama umenielewaBado hujajibu swali langu.
Naona hoja yako haimake sense samahani lakini, kwa sababu wanaweka mazingira mazuri ya kuvutia tourism, wanafanya Hadi "place making" Ili kupata watalii hata hii Lawson convenient store ni mfano wa place making Ili kuwavutia watalii kutengeneza memory ya Mt. Fuji,Elewa motive behind hao wajumbe wanachukia sana wageni.