Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea.

Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao.

Balozi zetu nyingi zinaongoza kwa kwa na wafanyakazi wenye nyodo sana, hawako kule kutafuta furusa wala kuwasaidua Watanzania. Sasa hii imewashinda now wanakuja na ujenzi wa Majengo, Hii ni matumizi mabaya sana ya pesa na washukuru tu kwamba wana raia wasio kuwa na uchungu na pesa zao.

Makamba kikubwa anacho target ni 10% yake haijalishi kama jengo litalipa au la hilo halimuhusu sana kikubwa alisha pata chake.

Sijajua anaye kuwa anapitisha idea za aina hii.

Na vipi siku uhusiano unavunjika? watauza hilo jengo au litataifushwa?

Kujenga offisi ya kawaida ni sawa ila kuanza kujenga magorofa ya Biashara sio sawa kabisa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240619_204943_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_20240619_204943_com.android.chrome.jpg
    737.5 KB · Views: 10
Tunataka Mpina mwingine achunguze hichi kitu, kuna madudu mengi sana kwenye hii ishu.
 
Yatakuja kuchomwa moto na haya maandamano bora watu wajenge bongo , huko kwingine political instability ni kubwa.
 
Back
Top Bottom