Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKuna mshikaji amepanga juzi kati tu apa kaa miez mitatu ishapita ..nnapokaa Mimi Sasa tumeanza kuzoeana baada ya kuona life langu ..Basi akanifuata mzee kafunguka Yani hajui kitu Zaid ya kupika chai na kuchemsha mayai tu ..anakula vibandani umo ..Ni wale mamy am going to school..
Basi anataka nimfundishe angalau kupika ..nimempanga atafute angalau 150k. Sifanyi kazi za bure labda arudi kwa maza ake akamfundishe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kawaida nchi za baridi kama Russia pombe kali muhimu okn ikizidi no hatari kwa afya ya akiliHua inashangaza sana wengi wakienda Russia inakua hivo nawafaham madocta watatu wawil walevi kupindukia alisalimika mmoja tu wakike ndio sio mlevi but wote waligraduate!Kunani Russia? #Msongo wa mawazo, upweke, ubaguzi kupeleka mtu kutumia vilev vikali au nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] kila siku buku 2. WoiiiHawa wanatumia Sana bumu na hela za pocket chenji kulipa wamama kuwafikia na kuwapikia, unakuta wamepanga wote hawajiwezi, basi mitaani siku hizi wapo wamama wanaoishi Kwa kufua na kupikia wanachuo!
Anyways ndiyo uchumi wa Kati wa chini!
Inawezeka mkuu Kuna ndugu yangu alikwenda kusoma china Mambo ya petroleum engineering bt Cha kushangaza amerudi bongo Sasa ivi ni bodaboda Sasa sijui kilichomkuta huko ni ni ni
hajacheza mbali, bodaboda si inatumia petrol.
Wewe ni mchina bila shakakuna ukweli some how,kama china usimlete mwanao,nduguyo kusoma Guangzhou😀huku ni bata na biashara.Atamaliza degree/masters ya computer science na hajui hata kutumia computer haha.China shule mpeleke miji mingine ila sio Guangzhou.Kuna mwananchi miaka mi 5 alikuja kusoma medicine sahiz ni dj🙄.
wengi ni uhuru wa upitiliza,toka wadogo wako geti kali so mtu akija huku plus makundi anaweza akapotea.Lakini maisha ni kuchagua,a man/woman above 18 kama hakufundishwa maisha ngoja dunia imfundishe😛😛
Yan Business Management unaenda kusoma nje ya nchi, hii ni wastage of resources.Nina ndugu yangu alipelekwa na babu yake ili akatulize mawazo baada ya baba yake kufariki. ni mdogo kiasi na aliambiwa asome business management na lengo ni baadae aje ku take over the company baada ya kukaa huko akaja akabadili na course aliyoamua kusoma akaanza kusoma muziki huko Canada siku amerudi nyumbani kawa kituko
Allah akujaalie kila lililo la kheri Sheikh umenena yaliyo ya Kweli kabsa ,.Naendelea kujifunza mengi, wazazi tuwe makini sana na malezi, mengi yameongelewa lkn kumuandaa mtoto wa kike na kiume kujitegemea ina faida sana kwa maisha yake ya sasa na baadaye.
Personally mm ni mwanaume, lkn nafika std seven najua kupika aina mbalimbali za vyakula na mboga zake (Particularily traditional foods sio bugger sijui) kwahyo mpaka wakat huu nimeoa na nina watoto huwa wananishangaa napoingia jikoni na kumwambia wife hebu kaa pemben nikusaidie kupika, watoto wangu huwa nawaita japo bado wadogo lkn huwa wanaonesha nyuso za kufurahi sana..kumuona Dady anamsaidia mamy kupika.
Mtoto akifika age ya kujitambua, mwambie pamoja na kuwa na dada wa kazi ( dada yao) haina maana kwamba wao wanatakiwa kurelax, wafanyiwe kila kitu, hapana...mtoto asifike wakati akaona yule dada ameajiriwa pale kufanya kila kitu ndani na yeye akae akunje miguu, mzazi ukiona hyo kuwa mkali...hii itamsaidia mwanao.
Unapofanya hvo iendane sambamba na kumueleza kwann unataka yeye ashiriki kikamilifu kujifunza na kufanya vitu personally bila kufanyiwa na mtu mwingine, tell them just be open, kuna siku hutakuwepo tena duniani, au hata kikazi tu, haitampa maswali ya kuumia mwanao, cos he/she is capable kufanya by her/himself.
Jitahid kuficha ule upendo uliopitiliza wa kusema nampenda sana mwanangu na sitaki apate shida...huyu ndo boy peke yake na nitamjengea nyumba yake sijui hapa pembeni ya nyumba yangu[emoji3][emoji3] aisee anasikia unayomwambia.
Wengi hatujasoma Psychology, lkn saikolojia inasema unaweza kumtengeneza mtoto kuwa kitu chochote unachokitaka, tufaham hivi kwamba miaka 6 ya mwanzo ya ukuaji wa mtoto awe wa kike au wakiume anahitaji support ya karibu sana ya wazazi wote wawili, japo sio kwa wote lkn sailolojia inasisitiza malezi ya wazaz wawil pamoja.
Miaka 6 ya mwanzo imejaa stages almost tatu ambazo mtoto anatakiwa kuzipita kwa lazima akiwa chini ya wazaz wake, na akipita stages hzo successful basi ukuaji wake kiakili, kimwili, kihisia, kimahusiano yake na watu wengine, na kitabia unakua kwa kiwango kinachotakiwa and thay why sometimes unakuta kuna mtu hawezi fanya team work na wengine, au mtu akiachiwa kazi peke yake kuifanya ifanikiwe inakuwa shida.
Stages za awali za ukuaji wa mwanadamu ni za msingi sana....sambamba na parenting style ambayo inafaa...sio kila anachotaka kufanya mtoto wew mzaz unasema just do it....hapana...lazima uwe na limitations...na usiliache hilo kwa mama au baba tu...epuka kuwa Neglectiful parent.....utatengeneza mtoto hatari sana.
Leo hii vijana wengi mjini, ukimwachia kazi siku tatu tu hawezi, kila siku naongea na wife na nina ushahidi...kuna kazi tu zinatokea namwambia wife tafuta watu wa kufanya kazi hizo, mtu anaanza fanya kazi siku 3 tu....anaacha maelekezo aliyoelekezwa, anaanza kuleta maelekezo yake, anaambiwa rekebisha anashindwa...anafukuzwa. huyo ni kijana, maana yake hajaandaliwa vizur kujitegemea mwenyewe...imagine kijana kama huyo atafanya kazi gani mjini, na kwa sasa nisimalizie tu...kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea.
Issue ya vyuo nje ya nchi, hasa Asia kuna shida, sijawah soma nje ya nchi lkn nimewah kaa miaka kadhaa nje ya nchi particulary Asia na Some Middle Easterns, lkn nina mtu nayemfaham na nashauriana naye mpaka sasa ili awe sawa, alipata changamoto hzo nje ya nchi akihudhuria masomo undergraduate, hakumaliza, aliishia kula madawa ya kulevya.
Kusima nje ya nchi inatekuja kuathiriwa na tunachokipigia kelele sana hapa, malezi...mfano mm niliwah faulu kwenda O level ya serikali miaka hyo na ilikuwa day school, nilimwambia mzaz wangu kama unataka nifanikiwe naomba nikasome Boarding school, baba akanipeleka Private Boarding...lkn mama mkubwa alikataa na kusema huyu mtoto asipelekwe hyo shule ataenda kuharibikiwa na kuvuta bangi[emoji3][emoji3]
Baba akaniuliza kwamba eti vipi, uende au usiende, nikamwambia mm naenda kusoma siendi kufuata bangi, nilienda kibishi form one kweli nilikuta kuna bangi tu tena sana..lkn nilienda nikijua nilikotoka na nilimaliza form 4 nikafaulu nikaendelea Advance, nikapata kazi kabla sijaenda Chuo na Advance nikafaulu vzur...nikiwa kazin nikajipeleka Udsm nikapiga undergraduate nikiwa kazin, lkn unaona kilichonifanya nifanikiwe, ni ile natambua nilikotoka na sio vile tu nakumbuka mzee alikonilea, sitaacha kutoa ushuhuds huu, siku mzee amekuja nitembelea shuleni kwangu nikiwa sina hata tshs 10, nikajua mzee ameniletea hata hela ya matumizi, mzee aliishia kuniletea zawadi ya BIBLIA sitakaa nisahau maishani mwangu[emoji3][emoji3]. Nilijuliza maswali mengi sana kwamba hv hii Biblia vipi hahaa lkn, nilimuelewa huyo mzee, na Mungu ambariki.
All ina all kama una malezi mazuri na pia umekuzwa namna flan pia kuwa na hofu flan hv ya Mungu, this is another case lkn inasaidia sana.
Kwanini wengi wanaharibikiwa nje ya nchi masomoni;
Wengi wanapagawa na homa ya freedom, wanajikuta wanafanya mambo mengi sana kwa wakati mdogo mpaka wanakosa kutambua ni kipi wanatakiwa kukishika na kuendelea nacho, uhuru uliopitiliza wakat na umri wao bado upo under probation period, inawakuta wameanguka bila kujua, na huku ndugu au wazaz wao wanakuwa mbali nao, na most cases ndugu mnakuja kufaham baada ya kwamba wameshaharibikiwa au wapo kwenye earlier stages za kuharibikiwa.
Wawapo huko hakuna anayemmwambia acha hii jambo, unaenda potea, lknangekuwa home unakuta anapata ushauri kwa wengi kwamba unapotea, though it is sometimes exceptional cases lkn maandalizi ya watoto wetu kusimama wao kwa miguu yao ni muhimu sana..
Duu hii ni independent thread sasa....nitaomba kufanya ya kwangu peke yangu......[emoji3]
Kuna binti nlikua namgonga alipelekwa Uganda ,nahisi kule ndo alijifunza kufi--- maana alipokutana na mimi akaniambia kabisa with confidence andaa mafuta unile nyuma, kitu ambacho sio cha kawaida mwanamke kukuambia live labda Wale malaya wanaojiuza mitaaniNimetoka Kampala jumatano hapo,ulisemalo ni kweli,...Uganda sio nchi nzuri kwa watoto wa kike kusoma.
Bila shaka....ulimlaKuna binti nlikua namgonga alipelekwa Uganda ,nahisi kule ndo alijifunza kufi--- maana alipokutana na mimi akaniambia kabisa with confidence andaa mafuta unile nyuma, kitu ambacho sio cha kawaida mwanamke kukuambia live labda Wale malaya wanaojiuza mitaani
Umetoa mawazo mazuri sana.Ni kama miaka ile wazaz walipeleka watoto wao kusoma Kenya na Uganda... Wengi wao walirudi ni malaya, walevi, mashoga nk...
Anyways kupanga ni kuchagua, lakin siwez mpeleka mwanangu akasome nje ya nchi wakat hio course inapatikana Tz...
Mafanikio MONafikiri mtoe na mifano ya walioenda huko na kufanya makubwa na kuwa mfano wa kuigwa katika jamii zetu.
Siyo wote wapo katika kundi la kuharibikiwa...
Nafikiri kunahaja ya kujifunza kwa hawa waliofanikiwa zaidi pasipo kuacha mafunzo kwa hawa waliofeli... elimu ya maisha ni mseto wa vingi...Mafanikio MO
Yupo dogo mmoja anaendesha clearing & forwarding kibingwa sasa. Na wana meli ndogo zinazo shuttle mizigo Dar Zanzibar!
Yupo communications manager Fulani alikuwa migodini sasa yupo kwenye mafuta!
Yupo Waziri wa Stima!
Wapo watu Gates foundation!
Wapo wengi balozi nyingi Tu!
Mafanikio yapo! Ila ukimuangalia Le Mutuz, hupeleki mtoto nje!