Kuna nchi ya Kikristo Duniani inayoongozwa kwa sheria za Kikrito?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba 'assylum' huko.

Ila zisiwe sheria za kanisa Katoliki.
 
Kila kukikucha waafrika na watanzania kwa ujumla nikuwaza Dini...!!!

Wazungu walituweza kwenye hili kila siku ma Threads ya UDINI hayaishi humu JF.

Waafrika tunapenda kuongelea mambo yanayo onyesha utofauti wetu badala ya mambo yanayo tu unganisha na kutuleta pamoja kama waafrika.

We tend to glorify our differences more than those aspects that unifies us..!!!

Poor Africa!! Dini haikusaidii chochote zaidi ya ubishi na mabishano ya kijinga.

Mungu angetaka dini ziwepo asinge ruhusu uwepo wa dini mbili zinazo pingana na kutofautiana.

God is not religion and religion is not God.
 
ukristo hauna misimamo mikali

Ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu / Akikupiga shavu moja mgeuzie na la pili ..... usilipize kisasi ...
 
Kila kukikucha waafrika na watanzania kwa ujumla nikuwaza Dini...!!!

Wazungu walituweza kwenye hili kila siku ma Threads ya UDINI hayaishi humu JF.

Waafrika tunapenda kuongelea mambo yanayo onyesha utofauti wetu badala ya mambo yanayo tu unganisha na kutuleta pamoja kama waafrika.

We tend to glorify our differences more than those aspects that unifies us..!!!

Poor Africa!! Dini haikusaidii chochote zaidi ya ubishi na mabishano ya kijinga.

Mungu angetaka dini ziwepo asinge ruhusu uwepo wa dini mbili zinazo pingana na kutofautiana.

God is not religion and religion is not God.
kwel mkuu sema ni vijana wa ovyo ambao kichwani hamna kitu ndo wanaongelea hizo mambo
 
Ni upepo tu wataongea yataisha na maisha yataendelea..sunajua sasahivi hakuna la maana la kuongelea siasa nayo imepoa hakuna amsha amsha kama za JPM.

#MaendeleoHayanaChama
 
Soma history... sometimes unaweza kufikiri unajua kumbe unadhihirisha hujui...
Soma history ujue ..chanzo cha Ulaya kutenganisha dini na siasa ..

Why Mfalme wa Uingereza ndo mkuu wa Kanisa la Anglican?

Why England kuna Anglican church na hawako chini ya Pope?

Why wamarekani walikuwa hawataki kabisa Rais mkatoliki Hadi Kennedy akalazimika Ku address ukatoliki wake na akawa Rais wa Kwanza mkatoliki na still akapigwa risasi?
 
Ukristo si Dini ama Mfumo wa KIUTAWALA, UKRISTO NI HABARI NJEMA KWA MATEKA DHIDI YA TUKIO KUBWA LILILOKO MBELE YETU.. Hii hijalishi we ni budha, jihadist, atheist etc as long as umekubali kuwa yeye NDIYE"UTAOKOLEWA".
Na zaidi mwenye UKRISTO MWENEYEWE alishasema Yohana:-18:36-37 "UFALME WANGU SI WA ULIMWENGU HUU".. inachukiza kuona kuna mtu analazimisha kuona ukristo ukiegemea katika mambo ya ulimwengu huu.
Hii dunia inamtawala wake soon atakuwa manifested throughout the world
 
Tanzania na dunia kwa ujumla zinaongozwa kwa sheria za biblia ambazo ni za kikristo.
 
Soma history... sometimes unaweza kufikiri unajua kumbe unadhihirisha hujui...
Soma history ujue ..chanzo cha Ulaya kutenganisha dini na siasa ..

Why Mfalme wa Uingereza ndo mkuu wa Kanisa la Anglican?

Why England kuna Anglican church na hawako chini ya Pope?

Why wamarekani walikuwa hawataki kabisa Rais mkatoliki Hadi Kennedy akalazimika Ku address ukatoliki wake na akawa Rais wa Kwanza mkatoliki na still akapigwa risasi?
Hiyo haifanyi hizo nchi ziwe za kikristo. Kutaka ukristo uwe na nchi yenye mfumo wa kikristo ni kutoka nje ya agizo la mwenye Ukristo.
 
Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/ inayoendeshwa kwa sheria za kikrito na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba assylum huko,

Ila zisiwe sheria za kanisa katoliki
Ukristo hauna sheria ya uongozi.

Maana sheria huambatana na hukumu.
Kwa ukristo we zini,
Watakuangalia tu
We iba watakuangalia tu

We ya mtu
Watakuangalia tu.

Fanya kosa lolote
Watakuangalia tu.

Hakuna sheria wala hukumu.
Kwa maana anaye stahili kuhukumu yesu tu.
 
Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/ inayoendeshwa kwa sheria za kikrito na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba assylum huko,

Ila zisiwe sheria za kanisa katoliki
Ukristo hauna sheria ya uongozi.

Maana sheria huambatana na hukumu.
Kwa ukristo we zini,
Watakuangalia tu
We iba watakuangalia tu

We ya mtu
Watakuangalia tu.

Fanya kosa lolote
Watakuangalia tu.

Hakuna sheria wala hukumu.
Kwa maana anaye stahili kuhukumu yesu tu.
 
Soma history... sometimes unaweza kufikiri unajua kumbe unadhihirisha hujui...
Soma history ujue ..chanzo cha Ulaya kutenganisha dini na siasa ..

Why Mfalme wa Uingereza ndo mkuu wa Kanisa la Anglican?

Why England kuna Anglican church na hawako chini ya Pope?

Why wamarekani walikuwa hawataki kabisa Rais mkatoliki Hadi Kennedy akalazimika Ku address ukatoliki wake na akawa Rais wa Kwanza mkatoliki na still akapigwa risasi?
Hapo ndo umemaliza?
 
Back
Top Bottom