Kuna nchi zipo vizuri ila huwa hawapigi kelele sana kama Majirani zetu

Wewe huwezi kunifunza jambo lolote kuhusu mambo ya uchumi. Eti sasa unanifunza tofauti kati ya Gdp na Gdp per capita, jambo ambalo tunasoma tukiwa first year kwa course la macroeconomics. Tuliza nyege dogo, hujui mengi duniani.
Sidhani kama hata upande wa per capita Abidjan imeishinda Nairobi
 
Corona imekutoa kamasi hadi kichwa kimebaki empty!!!.... Sasa mpaka unataka kutuponda na mji wetu wenyewe?
 
Hapana Luanda ipo juu in terms of GDP
 

Usiniletee maelezo meengi, hukuulizwa chochote kati ya hivyo! Hii ni kuonesha jinsi gani ulivyo mweupe kichwani, mtu makini anajibu 'short & clear'. Wacha nikurudishe kwenye msingi wa swali, usijidai kujisahaulisha.
Baba Mandigo Sr kaweka bandiko, ukaja na kimbelembele chako kama ilivyo ada na kusema "Abidjan ni mtoto sana kwa Nairobi. Hata Dar imeishinda kwa maendeleo". Jamaa Baba Mandigo Sr akaweka takwimu kuwa "Abidjan city has a GDP per capital of 2300$". Hapo ndiyo ukaja kutoa uharo wako kuwa "Gdp ya Abidjan ni ngapi? Wachana na mambo ya per capita kwanza". Huu ndiyo uharo wako mchumi, mwalimu wako alikufundisha uipinge GDP per capita na kuidai GDP katika kufanya comparison. Sasa umekwenda "google" na kujiona ulivyo lofa! Siku nyingine uwe unafanya "homework" kwanza!
 
Amekosa hoja, Nyangau huyo.

Ni mweupe kichwani huyu kuliko maelezo. Kazi yake kukimbilia "google" tu. Na wengi wao wako hivyo (binafsi nawafahamu vizuri tu), wanadhani kile kiingereza walichoachiwa na Muingereza ndiyo kujua vitu, ila ukiwa umepata nafasi ya kukaa nao utaona walivyo hewa kichwani.
 
Mambo niliyoyaandika hata huwezi kuyaelewa japo nimeyaandika kwa kiswahili. Kama ningeyaandika kwa kiingereza ndio ungechemsha kabisa. Haya ni mambo rahisi sana hakuna haja ya kugoogle. Sisi economists huwa tunadeal na mahesabu na magraph za kutisha. Usidhani kuwa economics ni theory ambayo nimeandika hapo tu. Mimi sikuanguka hesabu kama wewe shuleni.
 
Kama wewe umesoma economics undergraduate au masters basi nieleze forward linkage na backward linkage ni nini? Pia nieleze jinsi ya kucalculate gross national income. Kama hujui basi nyamaza, tafuta rika yako wa kugombana naye.
 
Haha, umemaliza kila kitu mkuu. Ndo kawaida yao kujisifia uwezo wa kuongea kiingereza
 
Kenya tuko vizuri kuzidi mataifa yote ukanda huu na lazima tuwakumbushie hili kila siku, msiotaka kuskia acheni kusoma taarifa za Kenya mtapata amani.
Mwaka haujaisha bado wewe subiri tu kama nilivyo sema huu mwaka ni mbaya sana tena sana kwa Kenya tayari KQ imeshakufa rasmi kama nilivyo sema kq inakufa huu mwaka sgr imesha kufa mchina kajua ni project ya hasara ila bahati ni kwamba hasara ni yawakenya mfumo Wa elimu tz vs Kenya Tanzania tunazidi kuitupa Kenya nje ya box miaka ya nyuma watz wengi walitegemia elimu bora kutoka Kenya sikuizi mambo ni tofauti Watoto wetu wengi wanasoma hapa hapa sababu ni IQ ya watanzania ni kubwa kuliko nchi zote hapa EAC
Uganda ilipo tuchokoza tuliipiga vita kisheshi
Na sasa Kenya imetuchokoza na kutaka vita ya kiuchumi na sisi pia tunaipiga kila mwenye akili anaona waziwazi nikipigo gani Kenya itakipata kutoka tz ni "KO"
 
Unaongelesha mwanauchumi sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hajuangi wewe ni mwana uchumi hata mimi nimetii,vile unasemanga ukionanga mavii ya muzee ya kizungu kwako unakua umeonanga Pesa !! Ila sasa chali yangu ya naii mimi nina swali kwanini wakeii wana watawaza wazungu ila wenyewe amji tawazi mnatoka chooni na kinyesi hadi kinaunguza mapaja mfano utakuta manzi Mrembo Kenya ila sehemu za siri zimeungua kwa kinyesi kweusi tofauti na rangi ya sehemu zingine
 
Hehehe!! Hongereni ila haya mavitu yalishatuchosha, sisi kwetu hapa yapo hadi mikoani wacha nyie ndio mumepata ya kwanza Dar mnataka kuangusha server za JF kwa misifa.
Ukipata kunionesha 3level interchange kenya nafunga accnt jf
 
Ukipata kunionesha 3level interchange kenya nafunga accnt jf

Kwaheri ihame JF, tuliwaambia nyie hamjafikia hata kwenye level ya kunusia makalio yetu, haya mavitu yamajezana huku tumeyachoka mpaka tumeyapeleka mikoani.

Pangani Interchange - Wikimapia
This comprises of a three-level road interchange comprising of an overpass from pangani towards Forest road, and a tunnel from Thika road, crossing over to surface again on Muranga road, and branching midway to surface also on Forest road. Service lanes are on ground level serving multi-directional roads.




 
Do you know the meaning of 3level? Unaumwa ww [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…