Kuna nchi zipo vizuri ila huwa hawapigi kelele sana kama Majirani zetu

Ukweli upi, mbn unaongea km mtu aliyekata tamaa hvyo, haya ongea huo ukweli nikuelewe ss.
hujui tunachoongelea? ukweli kwamba ni aibu kwa Tzn kuja kupiga makelele na kujipiga kifua kwa interchange na flyover 1 wakati nchi nyingine kama Kenya,Ghana,Code Voire,Angola,Zimbabwe nk nk wamejenga hizo madaraja long time na bila makelele kama ya kwako na wenzio..mnachosha na kutia aibu
 
We fala nn yn cc tunashangilia maendeleo we unatuletea habari za aibu au ndo kwnz unavunja ungo
 
We fala nn yn cc tunashangilia maendeleo we unatuletea habari za aibu au ndo kwnz unavunja ungo
Fala ni wewe kushangilia kwa kujilinganisha na kupondea wengine as if ndo mko front tena Nchi kubwa na kongwe kama Tzn..hizo flyova huko Ghana na Kenya ziko hadi kwenye miji midogo huku bongo ndo zinaingia jiji kuu la biashara ,hii ni aibu kutoa hadharani kujipiga kifua kwa waliotangulia
 
Yn ulivyo fala unaiogopa Ghana utadhani labda ni first world kumbe ni third, pia ngoja nkuambie kitu, ww na wapinzani wa maendeleo wenzio vumilieni tu wkt huu tumepata kiongozi makini, tutaendelea kushangilia kila inapoitwa leo yn bandika bandua, mkiona dozi kubwa hameni nchi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nyingine hii hapa tunashangilia[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Fala ni wewe third world imeweza bila makele tena nchi nzima sasa wewe unapiga chafya na ka flaiova kamoja ili iwaje? maskini akipata matako hulia mbwata kama matako yako yanavyolia sasa
 
Fala ni wewe third world imeweza bila makele tena nchi nzima sasa wewe unapiga chafya na ka flaiova kamoja ili iwaje? maskini akipata matako hulia mbwata kama matako yako yanavyolia sasa
U can't win this battle u fool, how can u want me to stop celebrating the achievements reached by my country, which country are you from and what is the level of development reached by ur country u dumb.
 
U can't win this battle u fool, how can u want to stop me celebrating the achievements reached by my country, which country are you from and what is the level of development reached by ur country u dumb.
Nimekuchoka na kelele zako endelea kupiga makofi ya matako tunasikia sauti ya mbwata panzi jike wewe
 
Nimekuchoka na kelele zako endelea kupiga makofi ya matako tunasikia sauti ya mbwata panzi jike wewe
Get rid of ur nincompoop here, if u don't wanna hear from us u shud unsubscribe the thread cmpo and clear, fala we
 
Get rid of ur nincompoop here, if u don't wanna hear from us u shud unsubscribe the thread cmpo and clear, fala we
Akiwa kwenye najukwaa mengine anasifia maendeleo ya Tz ila akiwa humu kazi yake ni kuponda kila kitu [emoji23]

Achana nalo lisikupotezee muda wako [emoji23]
 
Akiwa kwenye najukwaa mengine anasifia maendeleo ya Tz ila akiwa humu kazi yake ni kuponda kila kitu [emoji23]

Achana nalo lisikupotezee muda wako [emoji23]
Hili jamaa ni kigeugeu sn halijitambui km ni ndege au mnyama[emoji3][emoji3]
 
Ivory Coast??

Be serious bwana

The poorest country in Sub saharan Africa,eti ndio unaweka hapa kama mfano?

Ni kama Arusha,wanaita Geneva of Africa,kumbe hata kwa ubora haisemi kitu kwa Mwanza,fvck it and even Tanga!

Stop this nonsense!

Labda big boys kama Angola,sio huu upumbavu!
 
What??. Ivory Coast ipo poa sana, na capital city yao imeendelea kuliko mji wowote West Africa, I can confidently say that.
 
What??. Ivory Coast ipo poa sana, na capital city yao imeendelea kuliko mji wowote West Africa, I can confidently say that.
Acha uongo bwana

Put the numbers hapa...kuanzia GDP ya huo mji,infrastructure,housing,power,land use,tech,capital hub,etc?

Acha nonsense wewe!
 
Acha uongo bwana

Put the numbers hapa...kuanzia GDP ya huo mji,infrastructure,housing,power,land use,tech,capital hub,etc?

Acha nonsense wewe!
Wako na GDP per capital 2600$, wako na Ghorofa 8 ziko na zaidi meter 100, wako na zaidi ya jengo 20 zenye zaidi ya floor 20 etc
 
Attachments

  • 019F7A31-95C6-488D-8090-D85774E542D6.jpeg
    22.8 KB · Views: 1
  • 0AF9B4A2-716A-43E1-9078-B5DBF8FFD2AE.jpeg
    23.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…