Kuna nchi zipo vizuri ila huwa hawapigi kelele sana kama Majirani zetu

Hizo kwako ndio takwimu?

What a loss!

Nasemea takwimu za reputable institutions kama WB,IMF,McKinsey,etc zikisemea key economic indicators kama uzalishaji na human wellness indicators,innovation,finances,etc sio huu upumbavu eti wa magorofa 20 na mavi mengine!

Be serious wewe!
 
Pia wako na metro railway project iko katika hatua za mwisho. Abidjan is the most developed city in West Africa.
 
yeah wapo vizuri sana.
Nimeona aisee, anayeendelea kubisha we mwache abishe lkn ukweli wapo vzr, unajua waafrika wengi wamepumbazwa na uchumi wa kwenye makaratasi na co uchumi halisi unaolenga maendeleo ya moja kwa moja kwa mwananchi.
 
Abidjan ina average GDP growth ya 10% na 8.9% ni overall growth ya Ivory Coast. I think imepitwa na China tu , It is one of the few countries in Africa which her exports exceed her imports. Inflation rate 0.8%, unemployment rate 3%, external debt ratio -GDP 38%, Foreign Reserves 8 Billion $.
 
Namba ulizotoa ni za kijinga tu

Na still ni poor zaidi ya the bonafide poor Tanzania

Nchi yeyote iliyopo kwenye same poverty bracket na Tanzania ni shithole,sio nchi ni mavi!

It is shame tupo hapa tuna discuss nchi za kipumbavu ambazo hatuwezi iga chochote kwa maendeleo maana ni masikini na unfunctional

At least niwekee nchi serious kama Ghana,Kenya,South Africa,etc...na extreme nipe Singapore,USA,Taiwan,etc..sio some stupid shithole country kama Ivory Coast inayotawaliwa na madikteta since Uhuru
 
Okay.
 
They are also world’s largest producer of Cocoa and Raw cashew nuts.
 
Unajua Ivory Coast kwa wakati fulani, Zimbabwe kwa wakati fulani walikuwa wanakimbiza Africa, ila leo Kenya ndio nchi inayoonekana kabisa kuwa kwenye Runway wanajiandaa kupaaa
 
Unajua Ivory Coast kwa wakati fulani, Zimbabwe kwa wakati fulani walikuwa wanakimbiza Africa, ila leo Kenya ndio nchi inayoonekana kabisa kuwa kwenye Runway wanajiandaa kupaaa
Hamna kitu hao Nyangau..
 
Mwana,Kwa hiyo kuwaita wenzio nyangau eti ndiyo uugwana huo?.....basi naye ni kalb hayawan tu.
 
Ikiwa Wyatt ni mpumbavu,weye utakua mara 100 zaidi ya mpumbav......kalbou.
Tatizo ww dada huwa na hisia km unapigwa mkuyenge, huwa unajibu kwa hisia mno nahisi ww utakuwa unajuwa kupenda ww cz una hisia sn [emoji3][emoji3]
 
Eti sio nchi ni mavi. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
"kuna nchi zipo vizuri" ....NA TANZANIA SIYO MOJAWAPO YA NCHI HIZO....
tunaweza kuendelea kupiga kelele zetu sasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…