Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao...
Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao.
Ni Kama Ile ya tasnia ya sanaa ya uigizaji walivyokwenda kule Korea... Neema hii Inaweza kua ni matunda ya ziara Ile ya Korea au kuna ziara nyingine inayohusiana na miundo mbinu(highway/expressway/interchange construction).