Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Habari za mchana wakuu.
Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli.
Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana.
Sasa tangu muda huo mpaka sasa moyoni nina jazba siku yangu imekuwa mbaya😞😞😞.
Na nyie inawakutaga hii au ni mimi tu ndo na-expirience hii?