Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Ahsante MkuuKuna nguvu kubwa kwenye asubuhi, hivyo ukitaka siku yako iwe njema anza kuiamuru asubuhi iwe vile unayotaka wewe. (Command the morning)
Ayubu 38:12-13
[12]Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza?
Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?
[13]Yapate kuishika miisho ya nchi,
Waovu wakung’utwe wakawe mbali nayo?
Yani sijui why ikiwa Ni asubuh siku yako nzima inakua ovyoKuna mijitu inajuaga kuharibia watu siku aisee...tena asubuhi asubuhi. Mi huwa ntajitahidi kujisahaulisha ila ni mbinde....