Kuna nguvu ya ziada Babu Talenti anaitumia sio bure kwa kweli.

naomba kujua pale wcb
kazi ya
sallam
babu talent
mkubwa fella
rommy jones
Kabla ya kwenda WCB ungeanza na Diamond kwanza kisha unganisha dots!

Tale ndo meneja wa awali kabisa wa Diamond... wa awali kwa maana ya miongoni mwa hao uliowataja!!!

Baada ya Diamond kuzidi kuwa mkubwa, ikamlazimu Tale kusaidiana na Saidi Fella kwa sababu Fella alikuwa na uzoefu zaidi kuliko Tale!!

Ukubwa wa Diamond ulipokuwa mkubwa maradufu, akaingia Sallam na mwanzoni kwa ajili ya kusimamia international level kwa sababu tayari Sallam alishakuwa na access na wasanii wa nje ya Afrika Mashariki kulinganisha na Fella na Tale!

In short, Tale na Fella wali-base sana kwenye local market kwa sababu fitina za Bongo Flavor wanazijua inside out!!!

Undugu wa Rommy Jones na Diamond ndio uliomwingiza kundini! Pamoja na kwamba ndie DJ wa Diamond lakini wote wametoka mbali pamoja; si tu kwa undugu wao bali hata kwenye sanaa hususani wakati Rommy yupo Clouds!!!

Hamisha hayo maelezo kisha yapeleke upande wa WCB ingawaje kuna tofauti za hapa na pale kati ya WCB na Diamond.
 
hao jamaa ukitoka kwao, utaletewa fitna kwenye media, show hutapata za maana, yaani ndo mwisho wako hao jamaa wanacontrol muzik na entertainment media

Ndo naniiiiiii____(Kwa sauti ya joti)
 
Tatizo wasanii wa kibongo hawa save pesa(mtaji) kwani wakizipata wanatumia tuuuu baadae wanakua teegemezi kwa hao wanajiita mameneja, sasa tatizo ni la wasanii kwani hao akina sijuwi nani wanatafuta pesa tu mjini.
 
Ha haaaa haaaa unasema aliajiriwa WCB wakati tale kwenye interview yake alikataa kama Jamaa hakuwa mwajiriwa wa wcb!
Na juzi nimemsikia yeye mwenyew qboy anasema hakuwa mwajiriwa wa pale?
Ila nimefurahi majibu yako inaonekana nawewe unatetea ugali wako hapo WcB!
Ambaye ahakuajiriwa ni Mzambele
 
Wengi wetu tunashindwa kijisimamia hakuna nguvu nyingine unapo amua kijisimamia hakikisha umejipanga usikurupuke
 
Ambaye ahakuajiriwa ni Mzambele
Sawa mkuu basi bosi wako tale ndio Mwenye roho mbaya! Hata juzi kwenye birthday ya sallam alihojiwa na clouds akasema qboy hakuwa mwajiriwa wa wcb ilhali wewe upo hapo na unasema aliajiriwa!
Tumemaliza tuhuma za hance
 
We nae kwa kujitia ujuaji wakati huna unachokijua[emoji57][emoji57]!!
Nenda tena kasikilize hiyo clip halafu uje hapa,Tale alisema Qboy hakuwa Wcb kama mwanamuziki bali alikuwa wcb kama STYLISH,Akasema Mzambele hakuajiliwa na WCB..Hakuna sehemu Tale amesema kwamba Qboy hakuajiliwa,elewa basi!!

Eti Tale ana roho mbaya!!Wenye roho mbaya unawajua we ukiwaona?!kwani lazima huyo Qboy afie wasafi?!si akatafute kazi sehemu nyingine huko?!Kwani wasanii wako WCB pekeyake?!chuki niugonjwa ukishiriki utakonda[emoji57]!!

Tale yupo na ataendelea kuwepo,na utaendelea kumuona sana tu,yaani aendelee kuhold mabogas kisa tu watu watasema?!kama Tale anazingua basi wasanii waende kwa Sabuka meneja wa Harmorapa,sio lazima WASAFI jamani
 
[Emoji23] [emoji23] [emoji23] povu!
Bahati mbaya unayewaambia wenzio waondoke wewe mwenyewe huna mpango wa kuondoka!
Kazi njema mkuu usipanic
 
Haya mamenengament sijui management sometimes yanasumbua msanii lazima awe na jitihada binafsi pia ndo itasaidia awe kujisimamia mwenyewe kwenye baadhi ya ishu inakuwa ni rahisi kuijua systems ilivyo sasa ukiondolewa kuliaaaa wakati kipaji unacho na hiyo menengament haijaondoka na kipaji chako.
 
Qboy aliajiriwa wcb,ana mengi sana ameyafanya ila management haijataka kumpa kiki tu kwasababu tunajua anachotaka!

Diamond ana huruma sana,angeamua Qboy arudi wasafi angerudi tu!!ila watu walishamchoka,aende akawaibie wengine huko!maisha yakimshinda atarudi kwao Burundi,na alichokuwa anapewa na Diamond hawezi pewa na msanii yeyote yule Bongo hii ndio maana analalamika sana!!

Ameshalipwa mafao yake,maisha sio lazima WCB!!Kazi yake anaweza kufanya kwa msanii yeyote yule kama anavyofanya kwa Young Dee,makosa ni yake mwenyewe!!

Tunamtakia maisha mema huko aliko na aendako,sio lazima WCB
Ila mond hakupenda qboy aondoke lakini hana namna
 
Kabla ya kwenda WCB ungeanza na Diamond kwanza kisha unganisha dots!

Tale ndo meneja wa awali kabisa wa Diamond... wa awali kwa maana ya miongoni mwa hao uliowataja!!!

Baada ya Diamond kuzidi kuwa mkubwa, ikamlazimu Tale kusaidiana na Saidi Fella kwa sababu Fella alikuwa na uzoefu zaidi kuliko Tale!!

Ukubwa wa Diamond ulipokuwa mkubwa maradufu, akaingia Sallam na mwanzoni kwa ajili ya kusimamia international level kwa sababu tayari Sallam alishakuwa na access na wasanii wa nje ya Afrika Mashariki kulinganisha na Fella na Tale!

In short, Tale na Fella wali-base sana kwenye local market kwa sababu fitina za Bongo Flavor wanazijua inside out!!!

Undugu wa Rommy Jones na Diamond ndio uliomwingiza kundini! Pamoja na kwamba ndie DJ wa Diamond lakini wote wametoka mbali pamoja; si tu kwa undugu wao bali hata kwenye sanaa hususani wakati Rommy yupo Clouds!!!

Hamisha hayo maelezo kisha yapeleke upande wa WCB ingawaje kuna tofauti za hapa na pale kati ya WCB na Diamond.
Mkuu unaijua vuzuri wcb
 
Ila mond hakupenda qboy aondoke lakini hana namna
Qboy alichokwa na kila mtu,na ndio maana hakuna mtu aliyemtetea kwenye management!!Qboy amezingua sana,sana...mwache aendelee kuchonga kwenye media,labda kutamsaidia
 
Duuu mbona alikua anaonekana alikua kijana mpole sana pale wcb baada ya kifesi
 
Awa madogo wamekuaje naona aslay anatoa nyimbo peke yake kila siku na mwingine katoa yake sa namuonea hurma yule dogo mwenye sauti nzito akiimba peke yake
Kundi limekufa kila mtu anafanya kazi kivyake.
 
Naona mna taja taja Tale, Salaam, Fella, Diamond inaonekana wengi hamjui mtu alio behind the scene
 
Back
Top Bottom