Kuna nini CHADEMA Tarehe 27/02/2025, Mbona matangazo kona zote Duniani?

Hii ndio Taarifa yao iliyozagaa kote duniani iliyonifanya niulize kulikoni?

View attachment 3244006

Kama kuna anayejua kitakachojiri atueleweshe.
Licha ya upepo mkali na mawimbi, Nahodha wa Chadema Tundu Antipas Lissu yuko makini kuhakikisha meli inatia nanga.Nahodha Tundu Antipas Lissu ataifikisha meli mpaka kwenye nchi ya ahadi,nchi iliyojaa maziwa na asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…