Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

1785073506935.png
 
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.

Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?

Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.

View attachment 3636896

Cherry Hollister
View attachment 3636903
Mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe
 
Bro na wewe ni shabiki wa hizi vitu?

HADITHI YA MTEGO WA PANYA

Kulikuwa na Mkulima mwenye mifugo kama ifuatavyo, alikuwa na Kuku, Mbuzi, na Ng’ombe. Mkulima aliishi na mke wake lakini alisumbuliwa sana na tatizo la Panya ndani ya Nyumba. Panya huyu alikuwa anajulikana machoni pa Kuku, Mbuzi na N’gombe.

Siku Moja Panya alikuwa akichungulia kinachoendelea ndani ya Nyumba ya Mkulima yule na alishtushwa sana kuona mkulima na mke wake wakiandaa mtego wa Panya. Panya Alipata hofu sana na akaingiwa na woga akaamua akimbie kuwapa taarifa mifugo mingine.
Akapaza sauti akitoa tahadhari “Kuna Mtego wa Panya ndani ya Nyumba, Kuna Mtego wa Panya ndani ya Nyumba!” Kuku akamjibu kwa kumuonea huruma “Najua kwamba suala hilo ni sawa na wewe kuambiwa siku yako ya kufa imefika lakini mimi hainihusu siwezi kusumbuliwa na jambo hilo”

Panya akamgeukia Mbuzi na kumwambia “Kuna Mtego wa Panya ndani ya Nyumba, Kuna Mtego wa Panya ndani ya Nyumba!” Mbuzi alimuonea huruma Panya na kumwambia “Pole sana ndugu yangu Panya lakini mimi siwezi kufanya chochote kukusaidia jua kwamba mimi nakuombea sana kwa Mungu”
Panya akamgeukia Ng’ombe na kumwambia “Kuna Mtego wa Panya ndani ya Nyumba, Kuna Mtego wa Panya ndani ya Nyumba!” Ng’ombe akamjibu “pole sana lakini sio tatizo kabisa kwangu.”

Panya akaamua kurudi kwenye Nyumba akiwa na mawazo sana na mwenye kusononeka.

Usiku ule ule sauti ikasikika Nyumba nzima, Kama sauti ya Mtego wa Panya umekamata kitu. Mke wa Mkulima alikimbia kuona kilichokamatwa. Kwenye giza, hakuweza kuona kuwa ilikuwa Nyoka mwenye sumu kali ambaye mkia wake ndio umekamatwa. Nyoka akamuuma mke wa Mkulima. Mkulima akamkimbiza hospitali na waliporudi nyumbani mke wa Mkulima akiwa na homa.

Kama ilivyo ada kwamba mgonjwa wa homa anahitaji supu nzuri ya kuku, Kwahyo Mkulima akamchinja kuku kwa ajili ya kutengeneza supu hiyo, bado mkewe hakupona kwahiyo marafiki walikuja kusaidia kumuuguza. Kuwalisha wauguzi Mkulima akamchinja Mbuzi, lakini mkewe bado hakupata nafuu. Akafariki. Watu wengi wakaja kwenye msiba wake. Ilimbidi mkulima achinje Ng’ombe ili watu wote wapate chakula.
 
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.

Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?

Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.

View attachment 3636896

Cherry Hollister
View attachment 3636903
Nimeingia kwenye page yake aisee kampopoa dotto kinoma.

Maisha ya mitandaoni haya jinga sana
 
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.

Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?

Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.

View attachment 3636896

Cherry Hollister
View attachment 3636903
Ila GT King bana eti labda walikutana kwenye chimbo la kuchukua ARV 😆😆😆. Mkono wa nyani ngwengwe.
 
Back
Top Bottom