Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Umeongea point kubwa sana ila kwa dotto kayataka yeye sababu yeye ndie alieanzisha attack, so kwenye hii kesi point yako haikubaliki
Usiri wa taarifa za mgonjwa hauna excuse wala exception. Vyovyote vile iwavyo lazima ulindwe kwa nguvu zote. Tunampenda Cherry, hata mm nakubali kazi zake, ila kwenye hili dada yetu kateleza.
 
Brother Daktari, TEETH wao ni wambeya tu hawana habari wakishajua umeathirika Wana kutangaza Kila sehemu unayoenda.

Nina jamaa yangu Kila anapoenda meseji lazima ziingie ukizisoma unakuta ikimtangaza ana UKIMWI ndiyo kama Yale ya mtangazaji maarufu wa Mawingu radio mnyakyusa Fulani hivi mcheshi ambaye kwa Sasa ni Marehemu Kila alipokuwa anaenda katika shughuli zake za MC, lazima meseji ya TEETH iingie kumtangaza Kwamba anaishi na VVU
Ephrahimu kibondee R.I.P
 
Nina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk

Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea

Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc

Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya
Mkuu umeongea jambo kubwa sana ,nimeanzisha hii thread lengo ni kuwa alert watu na si kwamba kuleta "Mambo ya Ubuyu" .mtaji wa kwanza wa binaadam ni Afya ,afya ikiteteleka hakuna maendeleo.

Kitendo cha Mentor Cherry kumuanika Dotto Magari hakipaswi kuacha kuzungumziwa kwa kusema hii hainihusu -Huo ni mtego wa Panya - Ukisema haukuhusu itakuja kukurudia ,Diana Aston Villa ,Asha Madinda aisee wametambaza "Ngwengwe sana" na chain yao ni Ndefu mpaka ikaja kuwapata hao wasanii wakubwa wanaomiliki Redio.

Uganda iliwasaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya "GRIDI" kwa kuweka mambo Mubashara bila kuficha ,ukiondoka kwa ngwengwe wanasema LIVE Bila Chenga na huku TZ wanataka kuficha ficha huku wakiwaacha wanazidi kuwaambukiza mabinti wa watu makusudi na hao mabinti wanatembea na maboidaboda na mabajaji na hao mabajaji/bodaboda wanakuja kutembea na wake zetu(Mtego wa Panya Huo).

Teeth wa sasa sidhani hao wamejikita zaidi kwenye upigaji na usalama wa thithiemu ,bunge litunge sheria mviu akisambaza gridi makusudi na kifungo cha maisha jela ,ukitaka nchi inyooke haitakiwi kumuangalia nyani USONI.

Katika zama hizi ukiona mtu anaendekeza sana ngono basi ujue 90% amewaka hivyo hataki kuwa peke yake na ndiyo maana huyo muuza nguo "BREAK PRICE" anawagonga sana mademu.
 
Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.

Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.

Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
hivi kusambaza makusudi huu ugonjwa sio kosa
 
Ni kweli hata yeye Cherry alisema na kumpa warning kwamba Dotto aache kumsema na kumchokoza maana akija kuvungua VAULT mji UTATINGISHIKA ,hakupenda kumuweka wazi ila Dotto Mwenye alimTRIGGER.

Pia tuangalie kwa upande wa pili ,sasa nyinyi madaktari kwanini hamuwapi elimu hao waviu wakija CTC kuchukua dawa? Kwanini hawatulii na mmoja? Cherry amefikia hatua hiyo kwasasabu aanajua kwamba Dotto Magari amewaka na walikuwa wanachukua Dawa Sehemu moja ,kumbuka kwamba Dotto Magari alikuwa Teja na Mateja(70% wamewaka) ,kinachomsikitisha Cherry ni kwamba Dotto Magari anawapaka mafuta sana mabinti ,sasa utamuachaje mtu kama huyo bila kumuweka wazi? Unataka azidi kuambukiza watu? Kitendo cha kuwekwa wazi kwasasa hakuna mdada tena atakayeingia KING.
 
Noma sana , gridi inachapa kwenda mbele ,ukitaka kujua mziki kama una rafiki ni daktari muulize kirafiki tu atakwambia ,hali mbaya ,vibinti vidogo VIMEWAKA.

Madada hao wakali unaowaona wameiva wapo warito kumbe ni KAZEZE ni KAZEZE ni KAZEZE.
Noma Sana na Watu mtaani wamejisahau kabisa, ngwengwe u
Inatembea watu hawana habari, na hizi Porno wanazoangalia Bus wakimaliza wanauvaa umeme Grid 220-230KV 50/60Hz
 
ukimwi nowadays hata siyo ishu.
Siyo issue kama haujaupata ,Msikilize Cherry mwenyewe anavyosema ,hakuna ugonjwa mdogo ,ugonjwa ni ugonjwa ,kuna watu wanakwambia bora ukimwi kuliko cancer au kisukari ,kuna watu wamepona cancer na kisukari.

Tatizo la Ukimwi ni kwamba umekaa pabaya na unaambukiza sana ,tofauti na cancer/kisukari(NCD) na ndiyo maana unatiliwa sana msisitizo.
 
Kisukari na cancer wala hufi kwa Hofu na majuto
 
Noma Sana na Watu mtaani wamejisahau kabisa, ngwengwe u
Inatembea watu hawana habari, na hizi Porno wanazoangalia Bus wakimaliza wanauvaa umeme Grid 220-230KV 50/60Hz
Inasikitisha sana ,Cherry anakwambia wenye NGWENGWE katibu 90% wanapenda na wengine wapate wasiwe peke yao na ndiyo maana wanasambaza sana hovyo ,wachache sana kama yeye ambao hawataki wengine wapate.

Idadi ya wenye ngwengwe waliopimwa ni milioni 8 ila aambao hawajapimwa ni wengi.
 
Hizo data nazitoa wapi
 
Back
Top Bottom