Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Brother Daktari, TEETH wao ni wambeya tu hawana habari wakishajua umeathirika Wana kutangaza Kila sehemu unayoenda.

Nina jamaa yangu Kila anapoenda meseji lazima ziingie ukizisoma unakuta ikimtangaza ana UKIMWI ndiyo kama Yale ya mtangazaji maarufu wa Mawingu radio mnyakyusa Fulani hivi mcheshi ambaye kwa Sasa ni Marehemu Kila alipokuwa anaenda katika shughuli zake za MC, lazima meseji ya TEETH iingie kumtangaza Kwamba anaishi na VVU
nia yao ni nini
 
Nje ya mada hii, niljacha kutongoza au kuchukua namba ya mwanamke hospitali kuepuka majanga. Fikiria ukutane na binti kama huyu hospitali awe hana uzuri wa filter, unajua kaja kutibiwa homa. Kumbe kaungwa gridi ya taifa kaja kuchukua luku. Sisi mabaharia tunavyojua kukomalia akianza kuzingua ni majanga mengine.

Tukirudi kwenye mada naona nisichangie kitu huu ni ugomvi binafsi kuna mahali umeanza sipajui
 
Nina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk

Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea

Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc

Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya

Story za vijiweni. Mnapenda sana strory za hearsay zisizo na chembe yeyote ya ithibati. Bongo hii kama bado hujasingiziwa una ngwengwe, freemason, au una uza ngada ujue bado hujatoboa.
 
Back
Top Bottom