Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Asante sana kwa hii ila absolute numbers huwa zinadanganya. Ukilinganisha na jumla ya watu katikanchi. Kitu tunachoweza ku compare ni Prevalence Rate

Hapa kuna kiwango cha asilimia ya maambukizi (Prevalence Rate miongoni mwa watu wazima wenye umri wa miaka 15–49) kwa kila nchi kati ya zile 40 zilizopo kwenye chati, kulingana na takwimu za karibuni za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI (UNAIDS) na Benki ya Dunia:

Na.NchiIdadi ya Watu wenye HIV (Kwenye Picha)Kiwango cha Asilimia (Prevalence Rate 15–49)
1South Africa7,800,00014.4% – 17.3%
2India2,600,0000.2%
3Mozambique2,500,00012.6%
4Nigeria2,000,0001.3% – 2.2%
5Tanzania1,800,0004.5% – 8.2%
6Uganda1,500,0005.0%
7Zambia1,400,00011.0%
8Zimbabwe1,300,00011.6% – 23.1%
9Kenya1,300,0003.7% – 5.3%
10Brazil1,100,0000.6%
11Malawi990,0007.7% – 11.4%
12DR Congo610,0000.7%
13Ethiopia600,0000.9% – 1.4%
14Thailand570,0001.3%
15Indonesia570,0000.5%
16Cameroon510,0002.7% – 4.0%
17Ivory Coast410,0002.7%
18Mexico400,0000.35%
19Angola370,0002.1%
20Botswana360,00015.7% – 22.8%
21Pakistan350,0000.1%
22Ghana330,0002.0%
23Myanmar290,0001.2%
24Lesotho260,00017.1% – 26.2%
25Rwanda240,0002.9%
26Colombia230,0000.6%
27Eswatini220,00023.4% – 28.3%
28Namibia220,00011.8%
29Philippines220,0000.2%
30Spain160,0000.7%
31Haiti150,0002.2%
32South Sudan150,0002.4%
33Italy150,0000.3%
34Argentina140,0000.65%
35Republic of the Congo130,0003.8%
36Guinea130,0001.4%
37Peru130,0000.3%
38Papua New Guinea120,0000.9%
39Chad120,0001.2%
40Benin70,0001.0%

Tofauti Kuu Inayoonekana Hapa:​

  • Eswatini, Lesotho, na Botswana zina idadi ndogo ya watu kwa jumla (k.m. Eswatini ina watu karibu 220,000 pekee wenye HIV), lakini zina Prevalence Rate kubwa zaidi duniani (zaidi ya 15% - 28%).
  • Nchi kama India, Nigeria, au Brazil zina namba kubwa ya wagonjwa kwenye chati (watu milioni 1.1 hadi 2.6) kwa sababu tu ya kuwa na idadi kubwa sana ya watu kwa jumla, lakini Prevalence Rate zao ni ndogo sana (chini ya 2%).
  • Kwa upande wa Cameroon, ikiwa na prevalence rate ya 2.7% – 4.0%, iko katikati — haina kiwango kikubwa mno cha asilimia kama nchi za Kusini mwa Afrika, bali idadi yake ya watu (milioni 28+) inafanya namba kamili kufikia elfu 510.
Lakini pamoja na yote bado tuna uzembe katika kudhibiti huu ugonjwa hapa nchini,mbona China kuna mabilioni ya watu lakin rate ya maambukizi ni chini ya asilimia 1?! Marekani hivyohivyo hawana ugonjwa wengi wa UKIMWI pamoja na kuwa na watu zaidi ya million 300
 
Siyo issue kama haujaupata ,Msikilize Cherry mwenyewe anavyosema ,hakuna ugonjwa mdogo ,ugonjwa ni ugonjwa ,kuna watu wanakwambia bora ukimwi kuliko cancer au kisukari ,kuna watu wamepona cancer na kisukari.

Tatizo la Ukimwi ni kwamba umekaa pabaya na unaambukiza sana ,tofauti na cancer/kisukari(NCD) na ndiyo maana unatiliwa sana msisitizo.
Cancer siku hizi ukiiwahi inaponyeka. Ila Ukimwi ni mwisho wa lami
 
Lakini pamoja na yote bado tuna uzembe katika kudhibiti huu ugonjwa hapa nchini,mbona China kuna mabilioni ya watu lakin rate ya maambukizi ni chini ya asilimia 1?! Marekani hivyohivyo hawana ugonjwa wengi wa UKIMWI pamoja na kuwa na watu zaidi ya million 300
Hivi hizi nchi ulizotaja zina tabia kama ya kwetu Sub-Saharan Africa. Ngono kwenda mbele. Hata humu JF kila mtu anamtamani mwenzie kuinyuka K yake. Uliza Wanawake hasa walio open kama To yeye , Seran , Evelyn Salt au Kapeace wakueleze ukweli PM zao zinavyofurika vijana kuomba K. Mpaka wanafunga PM zao.

Kwa wenzetu pepo la ngono lipo chini lakini letu, Mungu anajua
 
Huwa mnatumia nini kabla ya kusimuliana hizi story za kijinga hadi watu na ndevu zenu mnaziamini kabisa? Ujinga bado ni janga la taifa hakika.
Acha ubishi hao TEETH hawaishi kwenye sayari yao. Tupo nao mtaani ni washkaji zetu. Miaka yetu sisi wakati tunasoma walikua wanafanyiwa vetting mashuleni sanasana kwenye shule za vipaji maalum. Nina washkaji zangu nimesoma nao olovel na alevel kwenye hizi shule zetu za vipaji maalum wengine wapo uko. Kwenye vikao vya hapa na pale vya kumwagilia moyo huwa wanatumegea za ndani
 
wakati tetesi za huyu jamaa zinasambaa kwamba anabugia mbaazi
UD ilikuwa ni mayowe na vilio kila kona
4245005.jpg
 
😁😁😁😁 Vita ni vita muraaaa

Honestly Hilo li dotto nalionaga kama mwehu
 
Sikamchokoza
Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.

Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.

Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
Mwenyewe yeye mbona huwaga anatoa Siri za watu na kuwananga watu , Huyo mtu unaye jaribu kumtetea Jaribu kuangalia pia na life style yake anaishi kama kichaa kutwa kuparamia watu , Halafu unategemea kwamba asingekuja kukutana na hizi drama !?

😁😁😁😁 Acha dawa imuingie
 
Usisahau ugomvi kati ya mwanaume na mwanamke mara nyingi inasababishwa na wawili kuwa wanaifyatua K ila mwanaume akimkimbia mwanamke....... Hivyo si ajabu binti anajua ukweli wa umri wa Dotto kuliko wewe
Mkuu hivi unajua umri wa miaka 58 kibongo bongo? Huyo hajafika huyo ni umri wa kina Zitto.
 
Mtu mwenye ngwengwe lengo lake ni kuambukiza wengine kadri iwezekanavyo ,na kwenye tendo wanawake beki hazikabi kwa mtu mwenye fedha ,me ndiyo anaamua kuvaa au kutokuvaa na kama ndiyo ana gridi kuvaa NGUMU yaani kitu Dry(Drive Inn -Ubalozi), Kisiwa, Chama.
Hata hivyo mtu anayetumia ARV probability ya kuambukiza ni ndogo sana. Halafu siku hizi kuna dawa kinga unachoma sindano mara mbili tu kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom