Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Shida watu wanadhani kupata ngwengwe ni ngumu sana la hasha si ngumu, mfano nilipo kuwa chuoni unakuta demu Mmoja kaliwa na watu zaidi njoo mtaani sasa ndo usiseme demu Mmoja ana wana sita na wote end of the day wanne au watatu lazima walombe tutaponaje mkuu kama si kudra za mungu
"Kizaa zaa gumzo gumzo kwa mabronzo ,masista du ,machizi,walimu na wanafunzi ni kazeze ni kazeze ni kazeze" -OCG

"Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa ,kumantain ni kazi kama hauna stamina backstage haina ulinzi wanapita kama counter,mademu mnawapitia makwao hamuwangojei CD za Show mnakuja kuwauliza ma DJ ,ukisikia Sound nzuri basi ujue wa nje siyo wa hapahapa" - Simon Makini - Brand
 
Sijajua mkuu ,inaonekana Dotto Magari ndiye aliyeanza na MentorCherry akampa warning kwamba aache kumtukana lakini Dotto hakusikia ndiyo naona akaamua Kufungua VAULT.
Habari nyingi za Ig unakuaga nazo, upo sambamba na Gen z
 
Hongera kwake kwa kuacha urahibu.
Hela yake tu! Kuna wanawake hawaogopi ngwengwe ataambiwa avae tu condom
Mmmh hivi unawajua mademu kweli wewe? Demu ukimpa OFFER kubwa ya pesa na kumwambia unaenda DRY anakubali fresh tu.


Haujawahi kuona wale wanaosema na NDOMU Twenty ila Dry ni Hamsa.
 
Ngwengwe ipo inatembea kimya kimya mjini. Nilishasahi kufanya kazi USAIDS nilikua upande wa masuala ya finance. Mzigo wa njugu ulikua unapitia kwenye department yangu. Nilikua naona.
Lakini data za clients wapya nyingi ni kubumba sana, atleast kwa sasa baada ya kuleta mambo ya finger print japo bado kuna michezo ipo, nimefanya huko miaka 5 so najua ninachoongea(ghost Clients)
 
Nina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk

Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea

Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc

Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya
Teeth wana mambo mengi ya msingi kuliko kufuatilia huo useng...e
 
Acha ubishi hao TEETH hawaishi kwenye sayari yao. Tupo nao mtaani ni washkaji zetu. Miaka yetu sisi wakati tunasoma walikua wanafanyiwa vetting mashuleni sanasana kwenye shule za vipaji maalum. Nina washkaji zangu nimesoma nao olovel na alevel kwenye hizi shule zetu za vipaji maalum wengine wapo uko. Kwenye vikao vya hapa na pale vya kumwagilia moyo huwa wanatumegea za ndani

Hearsay stories again. Kama story za ushirikina kila mtu kasimuliwa ila hakuna uthibitishio ila sababu mnasimulianaga mkiwa vilabuni sishangai. Miafrika na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
Back
Top Bottom