Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Brother Kuna watu TEETH wanawafuatilia kwa sababu Wanaishi na VVU, na inasemekana Wana usambaza hata hapo uliza kwa TEETH yeyote wa karibu na wewe.

Ukiwa unaishi na VVU na ikisemekana una usambaza makusudi unaripotiwa TEETH ili ufuatiliwe na wakibaini ni kweli wanakula simu ya kukumaliza kimya kimya maana wanaosambaza VVU na wao pia ni Tishio la Usalama wa Taifa.

Hiyo ichukue kuanzia leo na uishi nayo
Hahaa mimi namjua jamaa mmoja yupo " Mzena Makumbusho" hapo ana NGOMA kitambo sana aliambukizwa na demu mmoja hivi ,akaachana naye akaenda kumchukua binti mmoja mwingine ndyo amemuoa ,huyo binti alikuwa mpole tu familia ya kilokole.
 
Hili jambo lakini limekaa kimtego sana. Ni mfano wa ethical dilema kubwa sana. Maana ukimtangaza unavunja right to privacy ya mgonjwa. Ukimfichia siri unahatarisha afya za anaotembea nao.

Nafikiri mwisho wa siku ni vyema tukabaki kwenye msimamo wa sheria. Anayesambaza VVU kwa makusudi afungwe.
Yeye anasema sio Mgonjwa ataita waandishi wa habari na apime hospital za Serikali live..
 
Hahaa mimi namjua jamaa mmoja yupo " Mzena Makumbusho" hapo ana NGOMA kitambo sana aliambukizwa na demu mmoja hivi ,akaachana naye akaenda kumchukua binti mmoja mwingine ndyo amemuoa ,huyo binti alikuwa mpole tu familia ya kilokole.

Huyo hakuwa anaambukiza, wale wanaousambaza ndiyo wanafuatiliwa.

TEETH wanachotaka ni Kwamba uoe kama umeathirika, ila kama hujaoa na una usambaza lazima wakumalize kimya kimya na popote utakapoenda lazima SMS za TEETH ziingie kukutangaza Kwamba una Ngoma. Hata ukimsogelea mdada lazima huyo mdada ajulishwe kuwa wewe una Ngoma na lazima atakupiga chini

Hizo meseji Mimi ninakutana nazo Kila siku acha ubishi
 
Sawa mkuu ,lakini mtaani wapo kibao wamewaka na wanachapisha sana mabinti ,mwaka wa 8 huu mwendo ule ule ,hao Teeth wanafatilia waviu walioko Town tu?
 
Hili zoezi si lilikua lifanyike jana akaingia mitini hadi sahivi hajaleta majibu 🤣
Hata majibu yakija amewaka ,hawezi kuweka live ,ataleta ya kimagumashi.

Tuendelee kukaa humo humo kama alivyosema Cherry kwamba wote walikuwa CLINIC moja wanachukua dawa.

Tujiulize Cherry alishawahi kugombana na wangapi? Je mbona hakuwaambia kama alivyoambiwa Dotto Magari? Kumbukeni jamaa alikuwa teja ,tena ni teja wa mwananyamala ,mateja wengi wamewaka.
 
Kwahiyo na Chid kawaka?
 
Mateja wengi wamewaka mkuu hasa wale waliokuwa wanajidunga ,sijajua kama alikuwa anasnifu au anajidunga ,kama alifikia hatua ya kujidunga kwa SIRINJI basi possibility ya kuwaka ni kubwa sana.
Hivi kujidunga wanafundishana, naona inahitaji utaalamu kujichoma sindano
 
Hivi kujidunga wanafundishana, naona inahitaji utaalamu kujichoma sindano
Yeah wanafundishana ,hasa wale makonki ,wanatafuta tu mshipa wowote wanaudunga sirinji la poda.

Starehe nyingine zinafikirisha sana yaani sijui wanapata nini kusnifu miunga au kujidunga miunga kwenye mishipa ya damu.
 
Huyo anao! Angekua hana hii scandal isingekaa wiki nzima anavyopenda sifa siku ileile angepima live
Yaani kaishiwa pawa dotto 🤣🤣
Huyo amewaka ,ukimuangalia hizi siku mbili mwili umepungua kwa stress ,angekuwa hana wala lisingempa mawazo/stress.

Angekuwa hana angekuwa alishajipima Live na kujirekodi.
 
Back
Top Bottom