Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Haahahaa kumbe!! Siyo kwa ajili ya urembo? Moistorizing.
Kwanza kuna madoa ya miguuni, nayo mh! Tunaambiwa mtu aliye na maambukizi ya VVU ambayo hayajatibiwa anaweza kupata matatizo ya ngozi kwa sababu ya kupungua kwa kinga ya mwili (mfano upele unaowasha ujulikanao kama Pruritic Papular Eruption au uvimbe wa Kaposi's Sarcoma).
black-spots-on-legs.webp
 
Kwanza kuna madoa ya miguuni, nayo mh! Tunaambiwa mtu aliye na maambukizi ya VVU ambayo hayajatibiwa anaweza kupata matatizo ya ngozi kwa sababu ya kupungua kwa kinga ya mwili (mfano upele unaowasha ujulikanao kama Pruritic Papular Eruption au uvimbe wa Kaposi's Sarcoma).View attachment 3639176
Yeah hizo nazo ni moja ya viashiria ,vikienda mbali vinakuja kuwa MKANDA WA JESHI.
 
Sawa mkuu ,lakini mtaani wapo kibao wamewaka na wanachapisha sana mabinti ,mwaka wa 8 huu mwendo ule ule ,hao Teeth wanafatilia waviu walioko Town tu?
Hao unaowasema bado hawajatolewa taarifa kwa DOGS, na wanafanya hivyo kwa kujificha sana, ila siku wakibainika lazima watapukutishwa na pengine unaweza Kuta na wao ni TEETH au ni informer wa TEETH kwahiyo wanajua kukwepa mitego, mbinu zote wanazijua za kutokuweza kushitukiwa.
 
Hao unaowasema bado hawajatolewa taarifa kwa DOGS, na wanafanya hivyo kwa kujificha sana, ila siku wakibainika lazima watapukutishwa na pengine unaweza Kuta na wao ni TEETH au ni informer wa TEETH kwahiyo wanajua kukwepa mitego, mbinu zote wanazijua za kutokuweza kushitukiwa.
Mkuu inaonekana hilo la hao TEETH kuua waviu wanaosambaza makusudi inaonekana kama unalijua kiundani ,unaweza kutupa mifano ya WAVIU waliopukutishwa na Teeth.?
 
Kwa Sifa mnazowapa hao usalama kama zingekua zina chembe ya kweli hata kiduchu tu hii nchi ingekua mbali sana.

Kwenye nchi ambayo vichaa wote wanaaminika ni usalama sishangai story kama hizo kutamalaki hasa sababu umekiri huwa mnapeana mkiwa vilabuni mmelewa.
Brother usibishe, Kuna watu Wanaishi na VVU na inasemekana wanausambaza makusudi, TEETH huwa wanawaondoa kimya kimya watu hao.

Usibishe wakati huo ndiyo ukweli wenyewe
 
Hao unaowasema bado hawajatolewa taarifa kwa DOGS, na wanafanya hivyo kwa kujificha sana, ila siku wakibainika lazima watapukutishwa na pengine unaweza Kuta na wao ni TEETH au ni informer wa TEETH kwahiyo wanajua kukwepa mitego, mbinu zote wanazijua za kutokuweza kushitukiwa.

Lazima mtu uwe mwendawazimu kuamini hizi story. Keep going. 😂
 
TEETH wanachotaka ni Kwamba uoe kama umeathirika, ila kama hujaoa na una usambaza lazima wakumalize kimya kimya na popote utakapoenda lazima SMS za TEETH ziingie kukutangaza Kwamba una Ngoma. Hata ukimsogelea mdada lazima huyo mdada ajulishwe kuwa wewe una Ngoma na lazima atakupiga chini

Hizo meseji Mimi ninakutana nazo Kila siku acha ubishi
Unajua mdau mimi sijakuelewa au lamda fuvu langu ni zito kuelewa?unaposema,nanukuu “Hata ukimsogelea mdada lazima huyo mdada ajulishwe kuwa wewe una Ngoma“ hizi sms huyu dada anatumiwa na nani,na hao TEETH au?

Kama ndiyo,wao wanakuwa namba yake wameitoa wapi hadi wanichome kwake kwamba nina ngoma?hizo msg unakutana nazo kwa sababu na wewe tiss au?
 
Mateja wengi wamewaka mkuu hasa wale waliokuwa wanajidunga ,sijajua kama alikuwa anasnifu au anajidunga ,kama alifikia hatua ya kujidunga kwa SIRINJI basi possibility ya kuwaka ni kubwa sana.

Na kama hajidungi basi akizima huwa wenzake wanampasulia YAI.
So kumbe jamaa wanabatuana wenyewe kwa wenyewe tena?duh mboni balaa sasa!

Leo nimeelewa kumbe teja zaidi ya kupata HIV kupitia ku-share mabomba pia wanaambukizana kwa kubakana
 
We mzee hii takwimu umeitoa wapi 😃

Mil 8 hiyo si idadi ya wakazi wa mikoa 2 hadi 3...
Yani kwa hiyo hesabu yake ni wastani wa watu laki 3 na point kwa kila mkoa kwa mikoa yote ya Tz Bara. Kama ndo ivyo basi Tz baada ya miaka 10 ijayo raia wote watakua na ngoma.
 
Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.

Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.

Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
Shukrani Dr kwa Muongozo wako Waswahili tunasema Hujafa hujaumbika
 
Brother Daktari, TEETH wao ni wambeya tu hawana habari wakishajua umeathirika Wana kutangaza Kila sehemu unayoenda.

Nina jamaa yangu Kila anapoenda meseji lazima ziingie ukizisoma unakuta ikimtangaza ana UKIMWI ndiyo kama Yale ya mtangazaji maarufu wa Mawingu radio mnyakyusa Fulani hivi mcheshi ambaye kwa Sasa ni Marehemu Kila alipokuwa anaenda katika shughuli zake za MC, lazima meseji ya TEETH iingie kumtangaza Kwamba anaishi na VVU
Duu wanakutangazaje mkuu
 
Inasikitisha sana ,Cherry anakwambia wenye NGWENGWE katibu 90% wanapenda na wengine wapate wasiwe peke yao na ndiyo maana wanasambaza sana hovyo ,wachache sana kama yeye ambao hawataki wengine wapate.

Idadi ya wenye ngwengwe waliopimwa ni milioni 8 ila aambao hawajapimwa ni wengi.
Duu Sasa hii nchi Kuna mzima kweli na watu tulivo hatutaki kupima
 
Back
Top Bottom