MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
🤣🤣🤣🤣,kitawalamba.Wazamiaji watataka kuthibitisha, huwa hawakubali kudanganywa kirahisi
🤣🤣🤣🤣,kitawalamba.Wazamiaji watataka kuthibitisha, huwa hawakubali kudanganywa kirahisi
Usisahau tunaambiwa mgaagana upwa hali wali mkavu.🤣🤣🤣🤣,kitawalamba.
Mnapenda hekahekani kama ingekuwa Kila mmoja katulizana ukimwi usingeshika Kasi.Usisahau tunaambiwa mgaagana upwa hali wali mkavu.
Upo sahihi mkuuMnapenda hekahekani kama ingekuwa Kila mmoja katulizana ukimwi usingeshika Kasi.
Kuchukuwa tahadhari tu.Upo sahihi mkuu
Mengine siyo lazima kujua, ishia hapo hapo kuelewaUnajua mdau mimi sijakuelewa au lamda fuvu langu ni zito kuelewa?unaposema,nanukuu “Hata ukimsogelea mdada lazima huyo mdada ajulishwe kuwa wewe una Ngoma“ hizi sms huyu dada anatumiwa na nani,na hao TEETH au?
Kama ndiyo,wao wanakuwa namba yake wameitoa wapi hadi wanichome kwake kwamba nina ngoma?hizo msg unakutana nazo kwa sababu na wewe tiss au?
Walioko kwenye mfumo, wameshanielewaDuu wanakutangazaje mkuu
Si kweli! Mfano upo na kachepuko kako, mnapima na kukubaliana kujitunza. Kachepuko kanapata mchepuko mwingine au one night stand! Kaanaitoa na kwa bahati mbaya kanaupata. Unadhani katakueleza kuwa kashauza mechi? Ni bahati mpaka saa hizi tupo negativeKuchukuwa tahadhari tu.
Kikubwa msichepuke.Si kweli! Mfano upo na kachepuko kako, mnapima na kukubaliana kujitunza. Kachepuko kanapata mchepuko mwingine au one night stand! Kaanaitoa na kwa bahati mbaya kanaupata. Unadhani katakueleza kuwa kashauza mechi? Ni bahati mpaka saa hizi tupo negative
Hiyo ngumu sana hasa ukiwa umeoa. Ni ndoa chache ambazo mwanaume na mwanamke wote wapo sawa katika uhitaji wa kuunganisha vikojoleo. Nyingi utakuta mmoja ni moto na mwingine ni baridi. Hapo mwokozi wa ndoa hiyo ni michepukoKikubwa msichepuke.
Mtanzania akifika miaka mingapi anaanza kujiita majina ya kipumbavu kama hili la Cherry Hollister lililo tofauti na alilopewa na wazazi wake?Huyu mbangubangu katua wapi jina la hollister
hata wazungu wenyewe wanajichaguliaga majina kutokana na anakotoka,
Ugumu mnaweka nyie .Hiyo ngumu sana hasa ukiwa umeoa.
Nimeongezea kasome 271Ugumu mnaweka nyie .
Sasa wanatangaziwa wenye mifumo au wananchiWalioko kwenye mfumo, wameshanielewa
Tumuulize deo kisandu C-C Daily StoriesMtanzania akifika miaka mingapi anaanza kujiita majina ya kipumbavu kama hili la Cherry Hollister lililo tofauti na alilopewa na wazazi wake?
Ni kwa sababu probability ya kuambukizwa virusi vya ukimwi huwa ndogo sanaHaiwezi kutokeakwa taifa lolote wote wakawa na Ukimwi. Ila linaweza kuwa na wenye ukimwi wengi. Miaka ya 80 ilikuwa inazungumzwa na developed world wakiongozwa na mashirika ya kutokomeza ukimwi, kuwa sub-Saharan Africa kufika miaka ya 2000 watu wote watakuwa na ukimwi. Tuliwapinga ile mbaya, hadi tukaonekana kama mazoba. Lakini ona leo, ambao wapo negative bado wapo wengi tu
Jasus mbobevuMkuu inaonekana hilo la hao TEETH kuua waviu wanaosambaza makusudi inaonekana kama unalijua kiundani ,unaweza kutupa mifano ya WAVIU waliopukutishwa na Teeth.?
Mawardat kitu nilichokuwa nakitafuta sasa nimekipata! Kumbe Dotto na huyo Cherry walikuwa wanaunganisha vikojoleo! Diyo maana ya hii bifu. Msikilize binti mwenyewe
View: https://www.youtube.com/watch?v=13Zn9kq9JGY