Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kabisa mkuu hivi vitu sio tetesi ila ni taarifa zinatolewa na watu wa karibu kabisa na muhusika..
Pina kitambo sana alishawai kutupa za ndugu yetu mbunge wa wa watu na wanyama.
Sugu nae kwenye anti virus alishawai kutupa za marehemu MC wa mjengoni
Yeah nakumbuka sana goma la PINA Beef alitema cheche za kutosha!
 
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.

Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?

Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.

View attachment 3636896

Cherry Hollister
View attachment 3636903
Ni mzuri sana huyu manzi
 
banza stone hakufa ghafla
aliumwa mda sanaa

mkilewa mnadanganyana sana
sio wanadanganyaga walevi uwa wanaongea ukweli,kuna watu ata wakishinda na ndugu zao tu wanatoa SIRI za ofisini na wengine ni madaktari wanasimulia kabisa issue za hospital ,usije amini kiumbe anaitwa binadamu
 
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.

Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?

Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.

View attachment 3636896

Cherry Hollister
View attachment 3636903
Anachosema Cherry ni kweli kabisa. Tabia za Dotto Magari zinadhihirisha bila kuacha shaka kwamba ni mviu. Dotto akae kwa kutulia aache kuambukiza watu UKIMWI kwa makusudi.
 
Case Closed - Hollister na Dotto Magari Walikuwa wanachukua ARV clinic moja.

Lengo la Thread ni kwamba wasichana wasiwe wanawashobokea watu hovyo hovyo bila kujua historia zao vizuri ,je kabla hajaanikwa kawaambukiza wangapi?

View attachment 3637372
Huyu kiwete wa Kisarawe kajifanya fyatu mfyatuzi, ngoja sasa akaangwe na Naibu Dada wa Taifa hadi akili zimkae sawa.
 
Back
Top Bottom