Haki, hali inatisha jamani........kisa kilinitoke binafsi, nio kwenye foleni ya kuona dakctari kwenye Hospital private mjini, mbele yangu amekaa binti mmoja mrembo kaumbika na shepu nzuri, kavaa vizuri, kama si kuumwa ningeomba namba.....sasa alipoingia kuona dactari nami nikaingi next, sasa ni pazia tu daktari mmoja hapa na mwengine baada ya pazia........kabla Daktari wangu kuniuliza wauma na nini!, naskia Binti akiulizwa, unaendelea kunywa ARVs ama uliachaaa?.....damn, jamani hali si nzuri, bila kusema wazi wazi na ukweli, vitoto hivi vya sasa vitamaliza jamii!!!