Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

Mkuu unaweza ukatuambia Bongo nani aliyezungumziwa kwa hearsay halafu ikaja kujulikana ni uongo kati ya hivyo vitu ulivyosema NGWENGWE ,MUUZA NGADA ,GASHO(NGAPULILA)? Freemason au uchawi ni imani hauwezi kuithibitisha hivyo tuachane navyo nazungumzia hivyo vitu TANGIBLE(Ngwengwe ,muuza ngada,Ngapulila).

Ukiona mtu anaambiwa kati ya hivyo vitu vitatu(Ngwengwe ,muuza ngada,ngapu) basi kuna mtu ambaye yupo close na hao watu ndiyo wanalikisha ,nakumbuka kuna mtangazaji flani alishatangulia mbele za haki ,miaka ya nyuma kabla jina alijawa kubwa wakati yupo wa moto na alikuwa chapachapa sana ,kuna kipindi akakanyaga waya wa madaktari wakampigisha shoti ,wakaachia File lake kama ana ngwengwe aliipata miaka ya 2006-2008.

Kuna msanii na yeye ,anaonesha ana maisha mazuri ,mziki hafanyi sana kwasasa ila ana hits nyingi,moja ya interview yake na BDozen Selection alisema ana kampuni yake ya matangazo ambayo inafanya kazi na iliyokuwa HSC,tetesi kwamba jamaa anapumuliwa na 001 ,na pia jamaa hajawahi kuwa na Demu ,anapush Gwagon.

Kuna jamaa tena alishwahi kuwa Mbunge wa jimbo moja la wala chips sana ,nyumba yake ipo kona ya kwenda kwa Bi Sandra alipokulia Dayamondi ,tetesi nyingi kwamba jamaa ni supplier wa Bwimbwi ,wewe unafikiri nani anayelikisha kama siyo Punda wake? Kama kusingiziwa kwanini asisingiziwe wajina wake "SABUFA"?
Kabisa mkuu hivi vitu sio tetesi ila ni taarifa zinatolewa na watu wa karibu kabisa na muhusika..
Pina kitambo sana alishawai kutupa za ndugu yetu mbunge wa wa watu na wanyama.
Sugu nae kwenye anti virus alishawai kutupa za marehemu MC wa mjengoni
 
Wengi waliofikia stage ya kujidunga hufa mapema
Overdose nk
Na kumbuka wanajipiga wenyewe hawachagui mshipa wao mshipa wowote wakiupata wataji shoot
Utakuta sindano moja wana share watu hata 7

Ova
Daah ni hatari sana kwa afya ,ndiyo maana mateja wanapata ngwengwe sana hao wa kujidunga.
 
Yani kwa hiyo hesabu yake ni wastani wa watu laki 3 na point kwa kila mkoa kwa mikoa yote ya Tz Bara. Kama ndo ivyo basi Tz baada ya miaka 10 ijayo raia wote watakua na ngoma.
Haiwezi kutokeakwa taifa lolote wote wakawa na Ukimwi. Ila linaweza kuwa na wenye ukimwi wengi. Miaka ya 80 ilikuwa inazungumzwa na developed world wakiongozwa na mashirika ya kutokomeza ukimwi, kuwa sub-Saharan Africa kufika miaka ya 2000 watu wote watakuwa na ukimwi. Tuliwapinga ile mbaya, hadi tukaonekana kama mazoba. Lakini ona leo, ambao wapo negative bado wapo wengi tu
 
Back
Top Bottom