cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂 wee mkorofi,Ulikua songea Vijijini huko 🤣🤣
Nilikua maporini haswaaa. Lol
😂😂😂 wee mkorofi,Ulikua songea Vijijini huko 🤣🤣
Moja kauli ya kijinga sana ni hii unaijua cancer vizuri usiwe unaongea mambo usiyoyajuaCancer siku hizi ukiiwahi inaponyeka. Ila Ukimwi ni mwisho wa lami
Tatizo lako unajifanya mjuaji sana! Wenzako tuna experience na cancer kama aliyo nayo Prof Mwandosya. Uwe na adabuMoja kauli ya kijinga sana ni hii unaijua cancer vizuri usiwe unaongea mambo usiyoyajua
Ni bora ukimwi kuliko cancer
Mgonjwa wa cancer anateseka sana
Hakuna unalojua juu ya cancerTatizo lako unajifanya mjuaji sana! Wenzako tuna experience na cancer kama aliyo nayo Prof Mwandosya. Uwe na adabu
Kula msosi mzuri.Wewe starehe yako ni ipi
Ya nne ni N ama NYETONIZENi kweli mkuu ,ABC ni muhimu sana katika mapambano ya VVU.
A - Abstinence
B - Be Faithful
C -Condomize
Brother Kuna watu TEETH wanawafuatilia kwa sababu Wanaishi na VVU, na inasemekana Wana usambaza hata hapo uliza kwa TEETH yeyote wa karibu na wewe.
Ukiwa unaishi na VVU na ikisemekana una usambaza makusudi unaripotiwa TEETH ili ufuatiliwe na wakibaini ni kweli wanakula simu ya kukumaliza kimya kimya maana wanaosambaza VVU na wao pia ni Tishio la Usalama wa Taifa.
Hiyo ichukue kuanzia leo na uishi nayo
Hahaa Mkono Mmoja aka Self Service aka Selfie.Ya nne ni N ama NYETONIZE
Hii ni kwa wale wenye ukimwi tokea unaitwa JulianaView attachment 3639137
Code Muhimu.
Hatari sana mkuu,ni kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze.Hii ni kwa wale wenye ukimwi tokea unaitwa Juliana
Mara yako ya mwisho kupima ni liniHatari sana mkuu,ni kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze.
Nafuata ABC za kujikinga mkuu hivyo sijawahi kwenda nje ya reli na sijawahi kupima UKIMWI tangia nizaliwe....Utapimaje kitu ambacho hauna? Ukiwa mtu wa kuruka na madege ya jeshi ,ukioa mke wetu(walu walu) hapo lazima uwe na wasiwasi wa kupima.Mara yako ya mwisho kupima ni lini
Una uhakika gani mkeo ni wako peke yako?Nafuata ABC za kujikinga mkuu hivyo sijawahi kwenda nje ya reli na sijawahi kupima UKIMWI tangia nizaliwe....Utapimaje kitu ambacho hauna? Ukiwa mtu wa kuruka na madege ya jeshi ,ukioa mke wetu(walu walu) hapo lazima uwe na wasiwasi wa kupima.
Ndiyo maana wengi hususan Ke wanavaa socks hata na ndalaView attachment 3639137
Code Muhimu.
Hapo King Kong III alipokujibu, amebugi kisawasawaUna uhakika gani mkeo ni wako peke yako?
Kama una watoto utasemaje hujawahi kupima?
Rudia kusoma ,ukioa MKE WETU (walu walu) ,mimi sijaoa walu walu ,yupo kwenye ABC - Be Faithful.Una uhakika gani mkeo ni wako peke yako?
Kama una watoto utasemaje hujawahi kupima?
Haahahaa kumbe!! Siyo kwa ajili ya urembo? Moistorizing/lightining.Ndiyo maana wengi hususan Ke wanavaa socks hata na ndala
Unajipakulia minyamaRudia kusoma ,ukioa MKE WETU (walu walu) ,mimi sijaoa walu walu ,yupo kwenye ABC - Be Faithful.
Hivi unajua kwamba wajawazito wanapimwa hospital magonjwa yote? Alishapima hana na yeye hata akiwa mjazito huwa hana wasiwasi hata chembe kwamba atakutwa nao!
Ukiwa haujatulia lazima utapata pia mke asiyetulia ,ukinyooka kama rula lazima utapata m/ke naye aliyenyooka kama rula ,imeandikwa utapewa wa kufanana nawe.
Anajipakulia minofu! Namchora tuHapo King Kong III alipokujibu, amebugi kisawasawa